Chris Brown ndani ya penzi la moto moto na Jenifer Lopez moyoni

Chris Brown ndani ya penzi la moto moto na Jenifer Lopez moyoni

champagnepapi si kashapita hapo...
Chris Breezy anazngua kwa kweli
 
Naona huu ugonjwa wa Diamondplatnumz unasambaa kwa kasi sana,yani sasa hivi kamuambukiza mpaka CB?!
 
sawa bwana putin tumekusikia
Acha kabisa ,,kuna mwanamke ukidate naye ( tukiachana namambo yatabia) yaaan unajihisi km umetumbukizwa ndani ya asali ilowekwa ktk Glass ya Dhahabu ...yaaan unampenda kiumbo nabado ndani nimtamu hahahahha.

Yaaan unaweza kuhisi huko nyuma hukuwa unadate na mwanamke !!!...

Ukiacha na MTU tafuta MTU mkali zaidi yake......
 
J-lo ndani ya anaconda part 1, ni muhenga sana huyu mwanamke.
 
Jamaa kadai miaka kwake haimati
Anataka kuwa Hamorapa wa USA.
Haja yake ni kumkongoroa viwalo huyo tu huyo bibikizee halafu asepe.
Watoto wa siku hizi hawana adabu.
Kumzidi umri miaka20 ni umri wa mamake mzazi, tena mtoto wapili, Kah!
 
[emoji23][emoji23] mtoto wa kiume kakomaa anajiita Beira baby boy alafu anawashambulia wanaume wa Dar,wonders shall never end.
 
Back
Top Bottom