Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Upo marekani sio?Tatizo ana dharau mnooh japo nampenda sana breezy mie lol.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo marekani sio?Tatizo ana dharau mnooh japo nampenda sana breezy mie lol.
Tena ni majirani mnooh. [emoji23][emoji23][emoji23]Upo marekani sio?
unaishi katavi ila unafahamu breezy ana dharau hahahahaha ajabu hii.
Buza kwa rulenge.Dharau hizo alikuonesha mkiwa Sinza mori au Temeke ?
Sawa Mr MpalangeBuza kwa rulenge.
Chris Brown ni mcheza karate hatari. Muulize kilichompata Rihanna RobinsBreezy sio tu choreographer na muimbaji bali ni video director. Ukiangalia video zake nyingi anadirect yeye au anakua na ukaribu sana na director. Ukiwa kama director lazima utengeneze kitu kinachoweza kumjengea mwangaliaji fantasy fln fln hivi ambazo hawezi kuziona kwenye reality, na hapo ndipo ilipo raha ya kuangalia videos au movies.
So hata kama hana interest na issue za kufikirika kama telepathy etc... lakini ili kufanya kazi yake ivutie zaidi na kutengeneza fantasy za kuvutia lazima aoneshe hayo mambo ya kufikirika kwenye videos zake.
Af pia music videos zake nyingi anaiga kwa michael J ambazo zilikua kama movie fln hivi. Angalia thriller ya mj na videos nyingine za MJ utaona zilikua na maigizo mengi sana ya kufikirika fikirika tu. So na yy anatembea humohumo kwa mentor wake. Jamaa yuko interested sana na martial arts nadhan coz nasikia ana hadi mkanda mwekundu. Ila khs science utamsingizia bure, ni kazi yake tu inamfanya aweke hizo concepts kwenye videos zake