Breezy sio tu choreographer na muimbaji bali ni video director. Ukiangalia video zake nyingi anadirect yeye au anakua na ukaribu sana na director. Ukiwa kama director lazima utengeneze kitu kinachoweza kumjengea mwangaliaji fantasy fln fln hivi ambazo hawezi kuziona kwenye reality, na hapo ndipo ilipo raha ya kuangalia videos au movies.
So hata kama hana interest na issue za kufikirika kama telepathy etc... lakini ili kufanya kazi yake ivutie zaidi na kutengeneza fantasy za kuvutia lazima aoneshe hayo mambo ya kufikirika kwenye videos zake.
Af pia music videos zake nyingi anaiga kwa michael J ambazo zilikua kama movie fln hivi. Angalia thriller ya mj na videos nyingine za MJ utaona zilikua na maigizo mengi sana ya kufikirika fikirika tu. So na yy anatembea humohumo kwa mentor wake. Jamaa yuko interested sana na martial arts nadhan coz nasikia ana hadi mkanda mwekundu. Ila khs science utamsingizia bure, ni kazi yake tu inamfanya aweke hizo concepts kwenye videos zake