Chris Brown

Chris Brown

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
182
Reaction score
261
Akiwa Anatarajia Kuachia Album Yake Ya #BREEZY Mwezi June 24 Mwaka Huu Msanii @chrisbrownofficial Ameweka Wazi List Ya Wasanii Ambao Wapo Kwenye Album Yake Hiyo Na Good News Ni Kuwa Msanii Wizkidayo Amekuwa Miongoni Mwa Wasanii Ambao Wametajwa Kuwepo Katika Album Hiyo

#BREEZY Amethibitisha Uwepo Wa #WIZKID Kwenye Album Yake Hiyo Ambapo Amepost Katika Insta Story Yake Amepost Majina Ya Wasanii Wote Watakaokuwepo Kwenye Album Yake Ya #BREEZY

Credit SamMisagoTV
FB_IMG_1652871388050.jpg
View attachment 2230153
 
natamani watoe video ya “african bad gal” , Haikupata hype ya kutosha... looking foward to this new collab
 
Yule jamaa wa tandale angekuwa yeye angepost kabla ya muhusika ila wizkid hata habari hana.
 
September 9 kutakuwa na tamasha la Rolling loud(Ni kama Fiesta ya Marekani) wasanii kibao watatumbuiza tamasha mwaka huu linaanzia Toronto,Canada na katika show ya tarehe 10 WIZKID atakuwa lead performer yaani ni kama vile Rick Ross au 50 alivyofanya apperance Fiesta..The boy yupo mbali sana na wafulambute wengine tunaowajua

279053637_558876188933127_3729118855230921485_n.jpg
 
Back
Top Bottom