Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 May 28, 2018 #1 Huyu jamaa anawatesa sana wenzake kwenye mashindano ya Baiskeli , kwanini ? Ni bingwa mpya wa michuano ya GIRO ITALIA , anawakilisha TEAM SKY YA ENGLAND , sielewi anawazidi nini wengine , mwenye kumjua zaidi anakaribishwa
Huyu jamaa anawatesa sana wenzake kwenye mashindano ya Baiskeli , kwanini ? Ni bingwa mpya wa michuano ya GIRO ITALIA , anawakilisha TEAM SKY YA ENGLAND , sielewi anawazidi nini wengine , mwenye kumjua zaidi anakaribishwa
Eminem jr JF-Expert Member Joined May 21, 2018 Posts 2,003 Reaction score 4,584 May 28, 2018 #2 Ngoja waje wanao mfahamu
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,454 Reaction score 11,029 May 28, 2018 #3 Ina maana hakuna anayemfahamu ?
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 May 29, 2018 Thread starter #4 Mr.Junior said: Ina maana hakuna anayemfahamu ? Click to expand... Wengi hawafuatilii michezo mingine , soka imewapumbaza
Mr.Junior said: Ina maana hakuna anayemfahamu ? Click to expand... Wengi hawafuatilii michezo mingine , soka imewapumbaza