Chris Froome ni nani ?

Chris Froome ni nani ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huyu jamaa anawatesa sana wenzake kwenye mashindano ya Baiskeli , kwanini ?

Ni bingwa mpya wa michuano ya GIRO ITALIA , anawakilisha TEAM SKY YA ENGLAND , sielewi anawazidi nini wengine , mwenye kumjua zaidi anakaribishwa
 
Back
Top Bottom