Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
Kwenye mjadala huo chini, ameandika maneno hayo kwenye quate akiwa na maana SIKU za Mchungaji zinahesabika. Maisha yake unaweza kuhesabu kwa wazi kabisa kuwa zimebaki siku ngapi.
Ninaomba wataalamu wa LUGHA na SHERIA waliangalie hili na waweke maana yake hapa maana katika vitabu vingi nilivyosoma kuhusu Mobs, Gangs, Mafia nk ukiambia "Your days are numbered" ina maana wewe anza kununua jeneza kama siyo sanda na kujichimbia kaburi, kwani tayari umeshaandikiwa kifo chako.
From: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/442937-msigwa-chaliii.html

Badala ya kutetemesha ametetemeka mwenyewe,
Poor Msigwa, his days are numbered......!