Chris Martin wa Jamaica na T.I wa Marekani wote wapo Kenya wikendi hii

Chris Martin wa Jamaica na T.I wa Marekani wote wapo Kenya wikendi hii

TI alishakuja Bongo pia. Na sio TI tu Fifty cent, Rick Ross, Shaggy, Lil Kim, Omarion, Neyo etc

akuna nchi wanaosikiliza mziki kutoka nchi moja, hivyo ni ujinga kufikiri Watz wanadhani mnasikiliza mziki wa Bongo tu.

Sijui kwa nini Wakenya Mnapenda kushoboka kwa mabeberu mpaka wasanii wao.

Wasanii wakubwa wanawaheshimu hadi wasanii wetu ndio maana mpaka wamepiga collabo na Watz...
 
TI alishakuja bongo pia. Na sio TI tu Fifty cent, Rick Ross, Shaggy, Lil Kim, Omarion, Neyo etc

Hakuna nchi wanaosikiliza mziki kutoka nchi moja, hivyo ni ujinga kufikiri Watz wanadhani mnasikiliza mziki wa bongo tu.

Sijui kwa nini Wakenya Mnapenda kushoboka kwa mabeberu mpaka wasanii wao.

Wasanii wakubwa wanawaheshimu hadi wasanii wetu ndio maana mpaka wamepiga collabo na Watz...
Wakenya huwa ni washamba by nature
 
Muziki wetu umekua Sana asee 😂😂😂 imagine nchi hazijui hata Kidogo kuzungumza swahili lakini zinashobokea swahili songs kinoma 😂😂😂
LOL me mwenyewe nashangaa jinsi West Africa walivyoielewa bongo flava, nimeona hayo mapokezi ya mashabiki mpaka nikashangaa

Diamond ni International artiste % zote
 
TI alishakuja bongo pia. Na sio TI tu Fifty cent, Rick Ross, Shaggy, Lil Kim, Omarion, Neyo etc

Acha ungese hakuna nchi wanaosikiliza mziki kutoka nchi moja, hivyo ni ujinga kufikiri Watz wanadhani mnasikiliza mziki wa bongo tu.

Sijui kwa nini Wakenya ni vilazavilaza tu, Mnapenda kushoboka kwa mabeberu mpaka wasanii wao.

Wasanii wakubwa wanawaheshimu hadi wasanii wetu ndio maana mpaka wamepiga collabo na Watz...
Ile language barrier ilikuwa hapo...Ni mungu anajua tu,

Plus hawa wote wamekuja Kenya so sioni jipya,
 
Ile language barrier ilikuwa hapo...Ni mungu anajua tu,

Plus hawa wote wamekuja Kenya so sioni jipya,
Fatilia mashindano ya Bongo Star Search kama wakenya wenzako walivyojazana kule YouTube upunguze ushamba kidogo

Kule watanzania wanaimba kuwazidi wasanii wa marekani
 
Back
Top Bottom