Chris Martin wa Jamaica na T.I wa Marekani wote wapo Kenya wikendi hii

Ujumbe mwingine kutoka kwa mkenya mwenzako View attachment 1284595
Maisha ya LDC lazima iwe cheap tu maana pesa yenu ni ya madafu. Lakini hata bidhaa zikiuzwa bei nafuu hio haimaanishi kuwa nyie mnaishi maisha mazuri. Bei inaweza kuwa nafuu maana hakuna demand ya kutosha au pengine kuna government subsidy na kadhalika.
 
Acha tu kuja kuna wengine wame acknowledge kwenye miziki yao,for the people who knows the power of writing lycris,wakati wa uandishi unaweza kukata mistari mingi sana, if the artist prefer to leave the certain lines to his/her particular song should appreciate and understand the vibrant energy behind the song.Mfano wa miziki au maartist waliyoiongelea Tanzania straight ni

J Cole mziki unaitwa Boblo Boat
kwenye dakika ya (4:16)

SWAY IN THE MORNING.Kwa wanamjua Sway toka miaka ya tisini anaheshimika sana presenter mkongwe kbs nchini Marekani kumbe asili yake ni Tanzania
kwenye dakika ya (27:20)
Mfahamu pia Stogie T Msouth ambaye amezaliwa Tanzania Rapper mkali sana mwanzoni alikuwa akijulikana kama Tumi na band yao ya Tumi and The Volume.Remarkable freestyle kuanzia dakika ya (21:30)

Bado kuna mkongwe Black Thought from Legendary Roots Crew mziki unaitwa
Cojiba
kwenye dakika ya (1:21)

Roots-Zakwe feat Stogie T and Jay Claude
kwny dk ya (1:19)

And the list goes down..... 😂😂😂😂 msishangae mimi ni big fan wa Hip Hop period.
 
ulishaishi South Africa? Kule bei za bidhaa ni cheap kama Tanzania, wakati uchumi wa Kenya kwa SA ni kama takataka

Ninyi pamoja na serikali yenu kutoa subsidy kwenye bidhaa zenu lakini bado maisha kwenu magumu mpaka mnakufa njaa lol
Cheap is expensive. Hebu angalia vile watanzania wenzenu wanakimbizwa, kupigwa, na kuawa huko South Africa. They buy food cheap yet they are still suffering from hunger, joblessness and the kawaida poverty related issues sawa na Tz where food is percieved to be cheap but no infrastructural developments and joblessness and not to forget there are no industries.
 
Acha tu kuja kuna wengine wame acknowledge kwenye miziki yao,for the people who knows the power of writing lycris,wakati wa uandishi unaweza kukata mistari mingi sana, if the artist prefer to leave the certain lines to his/her particular song should appreciate and understand the vibrant energy behind the song.Mfano wa miziki au maartist waliyoiongelea Tanzania straight ni

J Cole mziki unaitwa Boblo Boat
kwenye dakika ya (4:16)

SWAY IN THE MORNING.Kwa wanamjua Sway toka miaka ya tisini anaheshimika sana presenter mkongwe kbs nchini Marekani kumbe asili yake ni Tanzania
kwenye dakika ya (27:20)
Mfahamu pia Stogie T Msouth ambaye amezaliwa Tanzania Rapper mkali sana mwanzoni alikuwa akijulikana kama Tumi na band yao ya Tumi and The Volume.Remarkable freestyle kuanzia dakika ya (21:30)

Bado kuna mkongwe Black Thought from Legendary Roots Crew mziki unaitwa
Cojiba
kwenye dakika ya (1:21)

Roots-Zakwe feat Stogie T and Jay Claude
kwny dk ya (1:19)

And the list goes down..... 😂😂😂😂 msishangae mimi ni big fan wa Hip Hop period.

Umetisha mkuu.
 
Cheap is expensive. Hebu angalia vile watanzania wenzenu wanakimbizwa, kupigwa, na kuawa huko South Africa. They buy food cheap yet they are still suffering from hunger, joblessness and the kawaida poverty related issues sawa na Tz where food is percieved to be cheap but no infrastructural developments and joblessness and not to forget there are no industries.
LOL Nitajie kiwanda kimoja tu ninyi mnacho sisi hatuna
 
Hawa wanamuziki wametinga Kenya ili kutumbuiza mafans wao. Wanaodhani Wakenya wanashabikia muziki wa bongo pekee poleni sana. Sisi tunasikiza muziki toka Nigeria hadi Jamaica. Pia hii inaonyesha kuwa Kenya inaheshimika na wasanii wa kutoka nje. .
Kwani Wabongo hawasikilizi miziki ya Kenya?

Mbona sasahv nasikiliza wimbo wenye mahadhi ya kikamba na yale marimba yao?

Ni watu gani wanaosikiliza miziki ya kwao tu?
 
Wabongo kwa kawaida hampendi kusikiliza mziki ya nchi zingine. Isipokuwa wewe.
 
Back
Top Bottom