Acha tu kuja kuna wengine wame acknowledge kwenye miziki yao,for the people who knows the power of writing lycris,wakati wa uandishi unaweza kukata mistari mingi sana, if the artist prefer to leave the certain lines to his/her particular song should appreciate and understand the vibrant energy behind the song.Mfano wa miziki au maartist waliyoiongelea Tanzania straight ni
J Cole mziki unaitwa Boblo Boat
kwenye dakika ya (4:16)
SWAY IN THE MORNING.Kwa wanamjua Sway toka miaka ya tisini anaheshimika sana presenter mkongwe kbs nchini Marekani kumbe asili yake ni Tanzania
kwenye dakika ya (27:20)
Mfahamu pia Stogie T Msouth ambaye amezaliwa Tanzania Rapper mkali sana mwanzoni alikuwa akijulikana kama Tumi na band yao ya Tumi and The Volume.Remarkable freestyle kuanzia dakika ya (21:30)
Bado kuna mkongwe Black Thought from Legendary Roots Crew mziki unaitwa
Cojiba
kwenye dakika ya (1:21)
Roots-Zakwe feat Stogie T and Jay Claude
kwny dk ya (1:19)
And the list goes down..... 😂😂😂😂 msishangae mimi ni big fan wa Hip Hop period.