Chris Martin wa Jamaica na T.I wa Marekani wote wapo Kenya wikendi hii

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Hawa wanamuziki wametinga Kenya ili kutumbuiza mafans wao. Wanaodhani Wakenya wanashabikia muziki wa bongo pekee poleni sana. Sisi tunasikiza muziki toka Nigeria hadi Jamaica. Pia hii inaonyesha kuwa Kenya inaheshimika na wasanii wa kutoka nje.

.

 
TI alishakuja Bongo pia. Na sio TI tu Fifty cent, Rick Ross, Shaggy, Lil Kim, Omarion, Neyo etc

akuna nchi wanaosikiliza mziki kutoka nchi moja, hivyo ni ujinga kufikiri Watz wanadhani mnasikiliza mziki wa Bongo tu.

Sijui kwa nini Wakenya Mnapenda kushoboka kwa mabeberu mpaka wasanii wao.

Wasanii wakubwa wanawaheshimu hadi wasanii wetu ndio maana mpaka wamepiga collabo na Watz...
 
Wakenya huwa ni washamba by nature
 
Muziki wetu umekua Sana asee 😂😂😂 imagine nchi hazijui hata Kidogo kuzungumza swahili lakini zinashobokea swahili songs kinoma 😂😂😂
LOL me mwenyewe nashangaa jinsi West Africa walivyoielewa bongo flava, nimeona hayo mapokezi ya mashabiki mpaka nikashangaa

Diamond ni International artiste % zote
 
Ile language barrier ilikuwa hapo...Ni mungu anajua tu,

Plus hawa wote wamekuja Kenya so sioni jipya,
 
Ile language barrier ilikuwa hapo...Ni mungu anajua tu,

Plus hawa wote wamekuja Kenya so sioni jipya,
Fatilia mashindano ya Bongo Star Search kama wakenya wenzako walivyojazana kule YouTube upunguze ushamba kidogo

Kule watanzania wanaimba kuwazidi wasanii wa marekani
 
Ile language barrier ilikuwa hapo...Ni mungu anajua tu,

Plus hawa wote wamekuja Kenya so sioni jipya,
Msanii gani wa Kenya kafanya collabo na msanii mkubwa A-list duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…