Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Huyo Chris Mauki ndio nani..?🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee kweli huijui kesho yako,angejua haya usiku kwamba nikiandika hivi kesho patachimbika yani statement yangu ita wavuruga vuruga vichwa mafaza house kutoka kila pembe ya nchi basi asingeamka na kuandika vile,Ona sasa mwanakulitafuta mwana kulipata.
[emoji16][emoji3][emoji23] mkuu huko umefika mbaliHuwezi ukaanzisha vita halafu utegemee adui akuattack unavyotaka wewe na si anavyotaka yeye adui,christina mauki ameanzisha vita na tunaruhusiwa kumuattack kwa namna yoyote tunayoiona inafaa this is all out war bro,tena mimi naenda mbali zaidi namroga kabisa
Mimi kwa hili alosema labda wamekasirishwa na kutokuwepo neno baadhi. Ila sio baya kiiiivyoMi naona wanaume wamepaniki Sanaa halafu hakumaanisha wao wanavyotafsiri yaani km walimpania hivii
Mimi kwa hili alosema labda wamekasirishwa na kutokuwepo neno baadhi. Ila sio baya kiiiivyo