Ni kweli haya?... ili afunge haitaji usumbufu wa aina yeyote either awe yeye na kipa au golini kusiwe na kipa he needs improvement.
Yule si mkongo ? National timu ya Congo wachezaji wa ndani ni watatu tuMugalu mbona hajaitwa timu ya Taifa
Kwani [emoji1241] ni kijiji kilicho congo?Yule si mkongo ? National timu ya Congo wachezaji wa ndani ni watatu tu
Isama Mdeko Tp Mazembe
Kabangu Tp Mazemze
Yanick Bangala As Vita
Waliobaki wote wanatoka nje
Kucheza national team ya Congo huyu bado sanaKwani [emoji1241] ni kijiji kilicho congo?
Hivi Azadi na Malango wanaocheza Wydada na Raja Casablanca wako timu ya taifa?Yule si mkongo ? National timu ya Congo wachezaji wa ndani ni watatu tu
Isama Mdeko Tp Mazembe
Kabangu Tp Mazemze
Yanick Bangala As Vita
Waliobaki wote wanatoka nje
Yes wameitwa ,ila muleka hajaitwaHivi Azadi na Malango wanaocheza Wydada na Raja Casablanca wako timu ya taifa?
Mapema mno kumhukumuHabari zenu wakuu,
Mchezo Kati ya SIMBA SC dhidi ya Biashara United umemalizika kwa ushindi mnono baada ya Mnyama kumchakaza mtu kwa jumla ya mabao manne kwa nunge.
Ila Kuna huyu mchezaji mpya wa SIMBA aliyeingia kuchukua nafasi ya kagere naona kama hapa tumeingia Cha kike kwa sababu zifuatazo:-
1. yupo slow Sana -kwa nafasi anayocheza anatakiwa awe na quick movement ndani ya boksi anashindwa hata Luis pamoja na Morrison.
2. hana pressure-ukiangalia anavyo cheza kagere au John boko wapo tofauti Sana na MUGALU akipoteza mpira hakabi Wala hasaidii kutafuta mpira Kama wenzako.
3. goal scoring accuracy - kwa hizi mechi za karibuni nilizomuona jinsi anavyocheza ili afunge haitaji usumbufu wa aina yeyote either awe yeye na kipa au golini kusiwe na kipa he needs improvement.
4. Hana tofauti na hawa ma striker wetu wa bongo -kwa namna anavyocheza anasubiria mpira tu afunge wakati wenzake wanatoa mpaka assist za magoli.
Ni hayo tu wadau Ila ngoja tumpe mda anaweza kubadilika Ila kwa SIMBA Ile asipobadilika atakaa benchi mpaka counter book liishe.
N:B Bwalya ilichukua mechi moja tu kuonyesha ubora wake na kila mtu alikubali kiwango chake Ila MUGALU ananipa wasiwasi.
Habari zenu wakuu,

Ila sio kwa uchezaji ule clear chance tatu anakosa na sio mechi ya kwanza kucheza vileChris leo hakuwa na siku nzuri ila ni mchezaji mzuri anayecheza kimbinu sana nd'o maana unaona makocha wanapenda kuanza naye . Anacheza mpira wa kisasa kadiri ya maelekezo ya kocha kutegemea aina ya mechi . Kukosa magoli ni sehemu ya mchezo .