Chris Mugalu simuelewi

Chris Mugalu simuelewi

1.Mugalu VPL dkk 20 Goli 1
2. Sarpong VPL Dkk 270 Goli 1
3. Sogne VPL dkk 120 Goli 0
4. John Bocco VPL dkk 180 Goli 2
5. Kagere VPL dkk 120 Goli 1 lingine halali lilikataliwa dhidi ya Ihefu.
6. Dube VPL DKK 180 Goli 2
Kwa takwimu Mugalu bado ni bora kuliko washambuliaji wote wa Vpl kwa sasa.
 
Mechi 3 goli 3... niambie Yacouba na Nchimbi kwapamoja wana goli ngapi
 
Habari zenu wakuu,

Mchezo Kati ya SIMBA SC dhidi ya Biashara United umemalizika kwa ushindi mnono baada ya Mnyama kumchakaza mtu kwa jumla ya mabao manne kwa nunge.

Ila Kuna huyu mchezaji mpya wa SIMBA aliyeingia kuchukua nafasi ya kagere naona kama hapa tumeingia Cha kike kwa sababu zifuatazo:-

1. yupo slow Sana -kwa nafasi anayocheza anatakiwa awe na quick movement ndani ya boksi anashindwa hata Luis pamoja na Morrison.

2. hana pressure-ukiangalia anavyo cheza kagere au John boko wapo tofauti Sana na MUGALU akipoteza mpira hakabi Wala hasaidii kutafuta mpira Kama wenzako.

3. goal scoring accuracy - kwa hizi mechi za karibuni nilizomuona jinsi anavyocheza ili afunge haitaji usumbufu wa aina yeyote either awe yeye na kipa au golini kusiwe na kipa he needs improvement.

4. Hana tofauti na hawa ma striker wetu wa bongo -kwa namna anavyocheza anasubiria mpira tu afunge wakati wenzake wanatoa mpaka assist za magoli.

Ni hayo tu wadau Ila ngoja tumpe mda anaweza kubadilika Ila kwa SIMBA Ile asipobadilika atakaa benchi mpaka counter book liishe.

N:B Bwalya ilichukua mechi moja tu kuonyesha ubora wake na kila mtu alikubali kiwango chake Ila MUGALU ananipa wasiwasi.
Mapema mno kumhukumu
 
Ngoja tuone,tusimtilie mashaka,mechi bado ni nyingi tutaujua ukweli kama ni mali ama galasa.
 
Chris leo hakuwa na siku nzuri ila ni mchezaji mzuri anayecheza kimbinu sana nd'o maana unaona makocha wanapenda kuanza naye . Anacheza mpira wa kisasa kadiri ya maelekezo ya kocha kutegemea aina ya mechi . Kukosa magoli ni sehemu ya mchezo .

Ila sio kwa uchezaji ule clear chance tatu anakosa na sio mechi ya kwanza kucheza vile
 
Back
Top Bottom