pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Habari zenu wakuu,
Mchezo Kati ya SIMBA SC dhidi ya Biashara United umemalizika kwa ushindi mnono baada ya Mnyama kumchakaza mtu kwa jumla ya mabao manne kwa nunge.
Ila Kuna huyu mchezaji mpya wa SIMBA aliyeingia kuchukua nafasi ya kagere naona kama hapa tumeingia Cha kike kwa sababu zifuatazo:-
1. yupo slow Sana -kwa nafasi anayocheza anatakiwa awe na quick movement ndani ya boksi anashindwa hata Luis pamoja na Morrison.
2. hana pressure-ukiangalia anavyo cheza kagere au John boko wapo tofauti Sana na MUGALU akipoteza mpira hakabi Wala hasaidii kutafuta mpira Kama wenzako.
3. goal scoring accuracy - kwa hizi mechi za karibuni nilizomuona jinsi anavyocheza ili afunge haitaji usumbufu wa aina yeyote either awe yeye na kipa au golini kusiwe na kipa he needs improvement.
4. Hana tofauti na hawa ma striker wetu wa bongo -kwa namna anavyocheza anasubiria mpira tu afunge wakati wenzake wanatoa mpaka assist za magoli.
Ni hayo tu wadau Ila ngoja tumpe mda anaweza kubadilika Ila kwa SIMBA Ile asipobadilika atakaa benchi mpaka counter book liishe.
N:B Bwalya ilichukua mechi moja tu kuonyesha ubora wake na kila mtu alikubali kiwango chake Ila MUGALU ananipa wasiwasi.