NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Nini?[emoji23]Simba inankojoza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini?[emoji23]Simba inankojoza
Kwa mtazamo wa haraka haraka, kazi ya striker ni kufunga. Lakini kwa mtazamo wa mbali zaidi, striker anaweza kutumika kama mtengeneza space kwa viungo kufunga. Striker anaweza akawa anafanya mikimbio ambayo ikawafanye mabeki wanaomkaba kumchunga zaidi aendapo, na kwa kufanya hivyo akawafanya waache nafasi kwa viungo kufanya yao. Hata hivyo hii haihalalishi kwamba striker akose bao la wazi.Kazi ya striker ni kufunga, sa unataka afanye nini zaidi wakati kila mechi akiingia anasalimiana na nyavu.
Watu wengine bwana nuksi tu.
Wacha kumtetea galasa Mugalu.Kwa mtazamo wa haraka haraka, kazi ya striker ni kufunga. Lakini kwa mtazamo wa mbali zaidi, striker anaweza kutumika kama mtengeneza space kwa viungo kufunga. Striker anaweza akawa anafanya mikimbio ambayo ikawafanye mabeki wanaomkaba kumchunga zaidi aendapo, na kwa kufanya hivyo akawafanya waache nafasi kwa viungo kufanya yao. Hata hivyo hii haihalalishi kwamba striker akose bao la wazi.
"Mshambuliaji mkabaji"[emoji23][emoji23]Wacha kumtetea galasa Mugalu.
Sawa kaletwa ili akabe huko mbele ndo hata nafasi za wazi za kufunga ashindwe?
Kama kukaba mbele apelekwe basi beki Erasto Nyoni akamiliki mipira pale ndani ya 18.
Straiker maana yake ni kufunga magoli.
Juzi alipotoka na AS Vita tukapata magoli mawili ya haraka. Na angebaki Mugalu wangeweza hata kusawazisha.
Leo ndo nasikia timu inasajiri eti Mshambuliaji Mkabaji.
Kutokana na nafasi alizocheza Mugalu kwenye mechi za CAF ilibidi aongoze kufunga magoli mengi. Lakini wanamzidi hadi viungo.
Kwa hawa viungo mafundi wa Simba namba tisa angesimama Sapong, au Molinga wangefunga magoli mengi sana.
Mugalu kazi yake uwanjani ni kula Big G na kusubiri kuotea.
Kama tungefungwa na AS Vita lawama zote angebeba Mugalu.
Ila Mugalu jamani pale tumepigwa aisehh.Habari zenu wakuu,
Mchezo Kati ya SIMBA SC dhidi ya Biashara United umemalizika kwa ushindi mnono baada ya Mnyama kumchakaza mtu kwa jumla ya mabao manne kwa nunge.
Ila Kuna huyu mchezaji mpya wa SIMBA aliyeingia kuchukua nafasi ya kagere naona kama hapa tumeingia Cha kike kwa sababu zifuatazo:-
1. yupo slow Sana -kwa nafasi anayocheza anatakiwa awe na quick movement ndani ya boksi anashindwa hata Luis pamoja na Morrison.
2. hana pressure-ukiangalia anavyo cheza kagere au John boko wapo tofauti Sana na MUGALU akipoteza mpira hakabi Wala hasaidii kutafuta mpira Kama wenzako.
3. goal scoring accuracy - kwa hizi mechi za karibuni nilizomuona jinsi anavyocheza ili afunge haitaji usumbufu wa aina yeyote either awe yeye na kipa au golini kusiwe na kipa he needs improvement.
4. Hana tofauti na hawa ma striker wetu wa bongo -kwa namna anavyocheza anasubiria mpira tu afunge wakati wenzake wanatoa mpaka assist za magoli.
Ni hayo tu wadau Ila ngoja tumpe mda anaweza kubadilika Ila kwa SIMBA Ile asipobadilika atakaa benchi mpaka counter book liishe.
N:B Bwalya ilichukua mechi moja tu kuonyesha ubora wake na kila mtu alikubali kiwango chake Ila MUGALU ananipa wasiwasi.
Ila Mugalu jamani pale tumepigwa aisehh.
Hahaha kabisa mkuu, maana hata bench hafai kukaa..Tumepigwa mchana kweupeee, lipunguze jim labda litabadilika
Hiyo point yako ya 6: Kagere ni mzuri na kocha analijua Hilo. Ila bahati mbaya kwa Kagere Ni kuwa hafiti kwenye falsafa ya mpira ya kocha! Kocha anaamini katika multiple tasks for each player depending on circumstances! Kagere ni mzuri kwenye kumalizia tu! Hana msaada katika kuleta Kash Kash kwa mabeki! Hana msaada wakati timu haina mpira! Hawezi kushiriki kikamilifu katika kunyang'anya mpira kutoka timu pinzani! Kwa falsafa ya Gomes hata Rud van Nisterooy aliyekuwa Man U angesugua benchi!!Tujikumbushe
1. Platinum vs Simba mugalu alikosa magoli mawili moja alibaki yeye na kipa alikanyaga mpira akaaunguka
2.Simba vs As vita team inapata clear chance nane yeye hana hata shot on target, team ina big chance 6 yeye big chance 3 anakosa zote ,,, Team ina goli nne kwa mechi moja alafu striker hana shot on target
3.Game na Al Merreikh hom and Away anakosa magoli zaidi ya matatu
4.Game na prison inaisha draw kwa sababu ya yeye kutotumia nafasi
5.Game na vita hom anatinga tu mabek hapig shots mpaka anapewa penalty na ole wake angekosa
6.Nasisitiza Da Rosa ni kocha mzuri anajua mpira kuliko sisi amwamin kagere hata kidogo kuliko mugalu
Bora mkosa magoli mugalu kuliko mpaki Basi iseee..Hivi bado kuna swali kuhusu kwanini Kocha anamchezesha Mugalu instead of Kagere? Nadhani jana umeona! Endelea na uchambuzi wako wa kusadikika.
Sawa sawamugalu is overrated amuachie namba kagere
Mkuu nakusalimiaMugalu.
Mechi mbili, goli mbili.
Ndugu yangu mpira haupo hivyo unavyofikiri.
Quick movements zipi unazosemea? Au ndo bora mradi umechambua?
Leo kapata clear chance moja na goli moja.
Anaweza asiwe mzuri ila sio kama ulivyochambua wewe.
Hakuna kilichobadilikaMkuu nakusalimia
Mwabeja,Tujikumbushe
1. Platinum vs Simba mugalu alikosa magoli mawili moja alibaki yeye na kipa alikanyaga mpira akaaunguka
2.Simba vs As vita team inapata clear chance nane yeye hana hata shot on target, team ina big chance 6 yeye big chance 3 anakosa zote ,,, Team ina goli nne kwa mechi moja alafu striker hana shot on target
3.Game na Al Merreikh hom and Away anakosa magoli zaidi ya matatu
4.Game na prison inaisha draw kwa sababu ya yeye kutotumia nafasi
5.Game na vita hom anatinga tu mabek hapig shots mpaka anapewa penalty na ole wake angekosa
6.Nasisitiza Da Rosa ni kocha mzuri anajua mpira kuliko sisi amwamin kagere hata kidogo kuliko mugalu