Chrispin wa JF...every womans dream hubby!!

Hiyo vocabulary umeitoa wapi tena mamushka?

si huyo charity wako huyo anumiza moyo wangu tuuuuuuuu......

mbona hata wewe juzi uliniambia hivo hivo....ntaexpose ile PM Pako oohoooo!!!!
 
Mrembo wa Iribini mie karibu ntakuchukia kwa kweli....wat u r doing to me haishauriwi hata na madaktari......
Hta usinichukie kabisa.Mie nashangaa tu upo kimyaaaaa.Yani nimekumiso kweli yani.sijui nani anakukeep bize
 
si huyo charity wako huyo anumiza moyo wangu tuuuuuuuu......

mbona hata wewe juzi uliniambia hivo hivo....ntaexpose ile PM Pako oohoooo!!!![/QUOTE]

PM tena? nionee huruma mwenzio.presha inapanda presha inashuka.
kiko wapi kitunguu saumu jamani.nifowadie basi hiyo Pm my dia.
 
jamani tshirt tena church eeeh!!! sio mimi, mie nimevaa ile nguo nloshonaga kwa fundi Ally unaikumbuka??

dah nimekumbuka ila kwa fundi ally usiend etena ana tabia mbaya...ndo nini kukupima nusu saa eti kifuani tu?
 
Mimi ni hawavumi lakini wamo(underground)
do ze nidfuli plz ya kuibua vipaji humu Jf.
Anzisha JF STAR SEARCH.Wewe na Chris ndo mtakuwa wasimamizi wakuu.

nita do ze nidiful ila sasa conflict of interest..kama mimi na hommie nod majaji tena?
 
si huyo charity wako huyo anumiza moyo wangu tuuuuuuuu......

mbona hata wewe juzi uliniambia hivo hivo....ntaexpose ile PM Pako oohoooo!!!!

Unataka kupigwa ban eeh? kisha iwe extended hadi kwetu!🙄
 
Hta usinichukie kabisa.Mie nashangaa tu upo kimyaaaaa.Yani nimekumiso kweli yani.sijui nani anakukeep bize

I miss you too hunny bunny!!! fanya mambo basi na wewe......

si huyo charity wako huyo anumiza moyo wangu tuuuuuuuu......

mbona hata wewe juzi uliniambia hivo hivo....ntaexpose ile PM Pako oohoooo!!!![/QUOTE]

PM tena? nionee huruma mwenzio.presha inapanda presha inashuka.
kiko wapi kitunguu saumu jamani.nifowadie basi hiyo Pm my dia.

kwani imani yako kwangu ilikuja kuwaje tena??? mi si ndo uliniamini niwe mkabaji??

Usisahau na juisi ya Ukwaju!!

Ona ulivokuwa mjeuri sasa...!!!
 
hahaaaa B bana mi staki, ntaivua ujue hapa hapa nilipo!!!
usivue usije wapa watu faida ila nakumbuka kisha roho inauma ndo maana B! we si wajua?

hiv huwa ina extend hii kitu B??

yeah kama binamu anaipata inawafikia hadi wapwaz...sasa unataka itokee..hawa wata do ze nidiful!
 
usivue usije wapa watu faida ila nakumbuka kisha roho inauma ndo maana B! we si wajua?

yeah kama binamu anaipata inawafikia hadi wapwaz...sasa unataka itokee..hawa wata do ze nidiful!

hahaaa the above is well noted B!!

afu kweli kichwa yangu imekuwa slow(usingizi kweli ni afya)
when you spoke of yellow and kupinga maendeleo....sikuelewa
hahaaaaaaa
 
hahahaa kumbe B LOL afadhali ssa umenielewa eeh nilikuwa na refer wapi

sasa umeshaconsult the holi buku nenda kanipe majibu kule imekatazwa wapi
 
hahaaa B mi kule leo siendi bana, napata night mares nikisoma ile kitu so ntakuambia kwa njia nyingine tu.....
 
Back
Top Bottom