Chrispin wa JF...every womans dream hubby!!

Hiyo vocabulary umeitoa wapi tena mamushka?

si huyo charity wako huyo anumiza moyo wangu tuuuuuuuu......

mbona hata wewe juzi uliniambia hivo hivo....ntaexpose ile PM Pako oohoooo!!!!
 
Mrembo wa Iribini mie karibu ntakuchukia kwa kweli....wat u r doing to me haishauriwi hata na madaktari......
Hta usinichukie kabisa.Mie nashangaa tu upo kimyaaaaa.Yani nimekumiso kweli yani.sijui nani anakukeep bize
 
jamani tshirt tena church eeeh!!! sio mimi, mie nimevaa ile nguo nloshonaga kwa fundi Ally unaikumbuka??

dah nimekumbuka ila kwa fundi ally usiend etena ana tabia mbaya...ndo nini kukupima nusu saa eti kifuani tu?
 
Mimi ni hawavumi lakini wamo(underground)
do ze nidfuli plz ya kuibua vipaji humu Jf.
Anzisha JF STAR SEARCH.Wewe na Chris ndo mtakuwa wasimamizi wakuu.

nita do ze nidiful ila sasa conflict of interest..kama mimi na hommie nod majaji tena?
 
si huyo charity wako huyo anumiza moyo wangu tuuuuuuuu......

mbona hata wewe juzi uliniambia hivo hivo....ntaexpose ile PM Pako oohoooo!!!!

Unataka kupigwa ban eeh? kisha iwe extended hadi kwetu!πŸ™„
 
Hta usinichukie kabisa.Mie nashangaa tu upo kimyaaaaa.Yani nimekumiso kweli yani.sijui nani anakukeep bize

I miss you too hunny bunny!!! fanya mambo basi na wewe......

dah nimekumbuka ila kwa fundi ally usiend etena ana tabia mbaya...ndo nini kukupima nusu saa eti kifuani tu?

hahaaaa B bana mi staki, ntaivua ujue hapa hapa nilipo!!!

Unataka kupigwa ban eeh? kisha iwe extended hadi kwetu!πŸ™„

hiv huwa ina extend hii kitu B??
 
hahaaaa B bana mi staki, ntaivua ujue hapa hapa nilipo!!!
usivue usije wapa watu faida ila nakumbuka kisha roho inauma ndo maana B! we si wajua?

hiv huwa ina extend hii kitu B??

yeah kama binamu anaipata inawafikia hadi wapwaz...sasa unataka itokee..hawa wata do ze nidiful!
 
yanakuwa hayo tena jamani? Lakini huwaga sina shaka kabisa na shemeji yangu,namwamini.

You can say that again shemeji..sasa msikilizie hommie wangu apo....πŸ˜€
 
usivue usije wapa watu faida ila nakumbuka kisha roho inauma ndo maana B! we si wajua?

yeah kama binamu anaipata inawafikia hadi wapwaz...sasa unataka itokee..hawa wata do ze nidiful!

hahaaa the above is well noted B!!

afu kweli kichwa yangu imekuwa slow(usingizi kweli ni afya)
when you spoke of yellow and kupinga maendeleo....sikuelewa
hahaaaaaaa
 
hahahaa kumbe B LOL afadhali ssa umenielewa eeh nilikuwa na refer wapi

sasa umeshaconsult the holi buku nenda kanipe majibu kule imekatazwa wapi
 
hahaaa B mi kule leo siendi bana, napata night mares nikisoma ile kitu so ntakuambia kwa njia nyingine tu.....
 
Noted B, hope you wont mind eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…