Chrispin wa JF...every womans dream hubby!!

Hata mtaguso unabadilika, sembuse Katekisimu? Pope ni Pope tu!

hahaaaaaaaaaaa huku JF kuna watu na watu wenyewe ndo hawa nikitaka kufurahi hata kama nimenuna naingia humu tu
 
Kumbuka lazima iwe na Imprimatur......LOL

Kwani haujawahi kufikiria kuwa NUNCIO maana najua UKATEKISTA unaumind sana sasa sijui una ajenda nao gani au kuna raha kuwafundisha WAKATEKUMINATO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…