Christian Bella akitoa hii remix hii ya Diamond si atamfunika

Yuko tight lakini original version still dongo la nguvu
 
ukiamua kuweka ushabiki pembeni, dangote ana nyimbo tamuu mbaya, wengi wananyimbo nzuri tena sana, ila za diamond ni tamu maskioni. salute kwako umejua kuchagua njia sahihi ya kupita.
 
ukiamua kuweka ushabiki pembeni, dangote ana nyimbo tamuu mbaya, wengi wananyimbo nzuri tena sana, ila za diamond ni tamu maskioni. salute kwako umejua kuchagua njia sahihi ya kupita.
ana nyimbo tamu lakini umeona jamaa alipoingiza kilingala,hiyo siyo studio je akiingiza vocal?
 
Bella ni baba lao tafadhali bella naomba usitoe huo wimbo maana itakuwa ni shida sana!
 
Bella ni motooo wa kuote kila ngoma atoayo ni kalii looo
 
yaani ukienda kwenye show zake ndio utamjua bella ni nani wasanii tz embu mwambieni awafundishe kuimba
 
hivi diamond ashawahi kuimba live mwanzo mwisho mhhh siataanguka na kuzimia kwa kukosa pumzi maana atabana pua mpaka ikome
 
hivi diamond ashawahi kuimba live mwanzo mwisho mhhh siataanguka na kuzimia kwa kukosa pumzi maana atabana pua mpaka ikome

Bella habahatishi anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…