Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ana nyimbo tamu lakini umeona jamaa alipoingiza kilingala,hiyo siyo studio je akiingiza vocal?ukiamua kuweka ushabiki pembeni, dangote ana nyimbo tamuu mbaya, wengi wananyimbo nzuri tena sana, ila za diamond ni tamu maskioni. salute kwako umejua kuchagua njia sahihi ya kupita.
Umuona hiyo kilingala?
hivi diamond ashawahi kuimba live mwanzo mwisho mhhh siataanguka na kuzimia kwa kukosa pumzi maana atabana pua mpaka ikome