Christian Bella akitoa hii remix hii ya Diamond si atamfunika

Bella ni Muimbaji..Diamond mfanya biashara ..Hajui Music

Bella =Mlima

Diamond=kichuguu..

Sema Wabongo walio wengi hawajui Music
 
hivi diamond ashawahi kuimba live mwanzo mwisho mhhh siataanguka na kuzimia kwa kukosa pumzi maana atabana pua mpaka ikome

Nimewai kuhudhuria show ya diamond sauti ya kuimba anayo ila hana mazoezi ya kuimba live hivyo basi hana uwezo wa kuimba live na mtu akafurahi!anaweza kuimba kwa kugandamizia ndio mtafurahi lakini si live!
+++++++++++++++++++++

Nimehudhuria show nyingi za christian Bella yani kwanza huwa anaimba akapela mwanzo mwisho halafu baadae ana anza kuimba na vyombo hakika huyu ni mfalme wao maana ana uwezo mkubwa wa kupangilia sauti bila kuchoka!

Yani kwenye show zake huwezi kuchoka na anaimba nyimbo zake zote na watu wana muambia arudie tuu yani mtachoka ninyi!
Ni dhambi ya muziki kumlinganisha Christian Bella na Diamond!
 

Hahahahaha,naomba niweke msisitizo NI DHAMBI YA MUZIKI KUMLINGANISHA CHRISTIAN BELLA NA DIAMOND..;-)
 
Achezi zenu mziki ni kama mpira kila mtu anastyle na sauti yake sio wote wanapenda mtu aimbeeeeeeeeeee.. wangine wanapenda swags. . Kama vile kah!! Au thomassss
 
kwanini atoe remix wimbo usio wake?
 
Hahahahaha,naomba niweke msisitizo NI DHAMBI YA MUZIKI KUMLINGANISHA CHRISTIAN BELLA NA DIAMOND..;-)

ukifanya collabo na bella lazima akuonyeshe kama mziki bado hujaujua.
Lazima akufunike vibaya vibaya ingawa nyimbo tutaipenda tu.
Nani kama mama ni mfano, ommy kafunikwa mbaya
 
Huu uzi haukuja kumlinganisha Diamond na Bella ila nyie wadau ndio munaanza kumlinganisha wakati misic wanayofanya ni tofauti na hakuna mbana pua ambae atafanya show mwanzo mpaka mwisho live bila vyombo ni uongo………!!!!
 
christian bella is a moh----a!!aiseeeeee.TUMUIMBIE KIZAIZAI EEHH NAKUPENDA SANA JOJOO MAMAA MIMII NDAMA MTOTO WA NG'OMBE
 
ukifanya collabo na bella lazima akuonyeshe kama mziki bado hujaujua.
Lazima akufunike vibaya vibaya ingawa nyimbo tutaipenda tu.
Nani kama mama ni mfano, ommy kafunikwa mbaya

Bella ni kitu kingine bhana
.....Mi nampendaga bure
 
Nani kama mama.....

Huu wimbo umenifanya nimpende sana CChristian Bella
 
mimi show za bongoflava zinaniuzi mtu akipanda stejini badala apafomu mwanzo mwisho anaimba kidogo anaingiza "sema yeeea,maneno yaajabu ajabu nakugeuzis mic kwa wadau waitikie sijui ni kways au. msanii unatakiwa ukianza wimbo ni kuimba mwanzo mwisho bila kukatisha
 
Hapo hajachanganya na vyombo, jamaa anajua kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…