Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi diamond ashawahi kuimba live mwanzo mwisho mhhh siataanguka na kuzimia kwa kukosa pumzi maana atabana pua mpaka ikome
Nimewai kuhudhuria show ya diamond sauti ya kuimba anayo ila hana mazoezi ya kuimba live hivyo basi hana uwezo wa kuimba live na mtu akafurahi!anaweza kuimba kwa kugandamizia ndio mtafurahi lakini si live!
+++++++++++++++++++++
Nimehudhuria show nyingi za christian Bella yani kwanza huwa anaimba akapela mwanzo mwisho halafu baadae ana anza kuimba na vyombo hakika huyu ni mfalme wao maana ana uwezo mkubwa wa kupangilia sauti bila kuchoka!
Yani kwenye show zake huwezi kuchoka na anaimba nyimbo zake zote na watu wana muambia arudie tuu yani mtachoka ninyi!
Ni dhambi ya muziki kumlinganisha Christian Bella na Diamond!
Kila mmoja ana nafasi yake
Hahahahaha,naomba niweke msisitizo NI DHAMBI YA MUZIKI KUMLINGANISHA CHRISTIAN BELLA NA DIAMOND..;-)
ukifanya collabo na bella lazima akuonyeshe kama mziki bado hujaujua.
Lazima akufunike vibaya vibaya ingawa nyimbo tutaipenda tu.
Nani kama mama ni mfano, ommy kafunikwa mbaya
DuH...Ni kweli Bela ni Mbingu, Dai ni Ardhi.