Hizi ndio sifa za mgeni kuomba uraia wa Tanzania? Au mimi ndio sijaelewa?
akihojiwa E. A Radio mapema Leo Jumamosi Nov 25.2017
The king of vocalist Melody Christian Bella Obama.
amesema yuko mbioni kuachana na uraia wa nchi yake Kongo DRS ya Zamani na kuwa raia wa Tanzania.
Mkongomani huyo amesema toka amekuwepo bongo ametumbuiza Ikulu zaidi ya mara Tatu utawala wa JK na huu wa Magu tofauti na Kongo ambako hujawahi hata kukanyaga Ikulu ya Joseph Kabila.
Pia Rais huyo wa Masauti Bongo anaendelea kuwashukuru watanzania
poor him kwaiyo angetumbuiza ikulu ya Congo asingebadilisha? hana tofauti na kina kafulila
Nina siku sijaingia kwenye Likes kule, ndo huwa nina uhakika wa kupata updates zako za sports, been busy kidogo.
Umenipa mbinu.
Umempindishia maneno. Ni kwamba anajihisi Mtanzania zaidi kuliko kujitanabaisha kuwa ni Congolese! Futa kauli! Hahahahahaaa!poor him kwaiyo angetumbuiza ikulu ya Congo asingebadilisha? hana tofauti na kina kafulila