Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,642
akihojiwa E. A Radio mapema Leo Jumamosi Nov 25.2017
The king of vocalist Melody Christian Bella Obama.
amesema yupo hatua ya mwisho kuachana na uraia wa nchi yake Kongo DRS ya Zamani na kuwa raia wa Tanzania na anategema kukamilishautaratibu huo kabla ya wiki ijayo Disemba Mosi
Mkongomani huyo amesema toka amekuwepo bongo ametumbuiza Ikulu zaidi ya mara Tatu utawala wa JK na huu wa Magu tofauti na Kongo ambako hujawahi hata kukanyaga Ikulu ya Joseph Kabila.
Pia Rais huyo wa Masauti Bongo anaendelea kuwashukuru watanzania