Christian Countries hakuna masikini, kwanini?

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Kuna anayejua sababu kwa nini hakuna nchi ambayo ilikuwa na dola ya kikristu kwa maana ilifwata ukristu ambayo ni masikini?

Kuna nchi nyingi zilizofwata Hinduims lkn masikini, zilizofwata Budhism zipo masikini na zilizofwata Uislamu pia nyingi zipo masikini na hata kwetu afrika ambako hatukuwa na Dini pia ni masikini kwa nini unafikiri christian countries zote zimeendelea kwenye human rights, democracy, human development very high, sababu ni ipi unadhania ?
 
Israel imeendelea kwa lipi zaidi bila Msaada wa Marekani na washirika wake??

Porojo hizo....hizo ni nchi zenye wakrisu wengi...
Hazina katiba ya kidini mkuu.

ukinisoma vizuri utaona nimemaanisha zikizofwata dola ya kikristu, huwezi kutenganisha western europe na christianity, kila kitu western europe chimbuko lake ni ukristu …
 
Kumbe Arabs Emirates ni masikin? Saudia ni masikini? Qatar ni masikini? kila kona unaonaga Qatar airways n masikini? tulishuudia walivoandaa kombe la dunia kumbe ni masikini?

kazi ipo akili zikiwa chache
 
kuna anayejua sababu kwa nini hakuna nchi ambayo ilikuwa na dola ya kikristu kwa maana ilifwata ukristu ambayo ni masikini? Kuna nchi nyingi zilizofwata Hinduims lkn masikini, zilizofwata Budhism zipo masikini na zilizofwata Uislamu pia nyingi zipo masikini na hata kwetu afrika ambako hatukuwa na Dini pia ni masikini kwa nini unafikiri christian countries zote zimeendelea kwenye human rights, democracy, human development very high, sababu ni ipi unadhania ?

Christians countries? Are you stupid?
 
zimbabwe, Haiti, Kongo na wenyewe matajir. alaf qatar, saudia algeria, moroco ni maskini?

Zimbabwe kongo haiti siyo na wala hazijawahi kuwa christian countries, usichanganye waumini wakristu kwenye nchi na nchi inayofwata ukristu hivyo ni vitu viwili tofauti …
 
ukinisoma vizuri utaona nimemaanisha zikizofwata dola ya kikristu, huwezi kutenganisha western europe na christianity, kila kitu western europe chimbuko lake ni ukristu …
Una hadithi tu wewe...
Kuwa wakristu sio kuongoza kikristo, unajua nchi ulizotaja ndio ziliongoza kununua na kutumikisha watu weusi..
 
Kumbe Arabs Emirates ni masikin? Saudia ni masikini? Qatar ni masikini? kila kona unaonaga Qatar airways n masikini? tulishuudia walivoandaa kombe la dunia kumbe ni masikini?

kazi ipo akili zikiwa chache

haujelewa labda nilichomaanisha, kuna nchi nyingi zinafwata dola ya kiislamu lkn ni masikini lkn hakuna nchi iliuokuwa dola ya ukristu ambayo ni masikini …
 
Dola ya kikrstu iko wapi. Ulikotaja hamna mbona.
 
Back
Top Bottom