Israel imeendelea kwa lipi zaidi bila Msaada wa Marekani na washirika wake??kuna anayejua sababu kwa nini hakuna nchi ambayo ilikuwa na dola ya kikristu kwa maana ilifwata ukristu ambayo ni masikini? ...
Kama nchi ipi????....Ushahidi upo wazi kila mahali, hakuna nchi iliyofwata dola ya kikristu ambayo ni masikini leo hii …
Porojo hizo....hizo ni nchi zenye wakrisu wengi...hiyo ni easy, western Europe, North America, Australia, New Zealand hata South Afrika ilikuwa rich …
Israel imeendelea kwa lipi zaidi bila Msaada wa Marekani na washirika wake??
Porojo hizo....hizo ni nchi zenye wakrisu wengi...
Hazina katiba ya kidini mkuu.
kuna anayejua sababu kwa nini hakuna nchi ambayo ilikuwa na dola ya kikristu kwa maana ilifwata ukristu ambayo ni masikini? Kuna nchi nyingi zilizofwata Hinduims lkn masikini, zilizofwata Budhism zipo masikini na zilizofwata Uislamu pia nyingi zipo masikini na hata kwetu afrika ambako hatukuwa na Dini pia ni masikini kwa nini unafikiri christian countries zote zimeendelea kwenye human rights, democracy, human development very high, sababu ni ipi unadhania ?
Christians countries? Are you stupid?kuna anayejua sababu kwa nini hakuna nchi ambayo ilikuwa na dola ya kikristu kwa maana ilifwata ukristu ambayo ni masikini? Kuna nchi nyingi zilizofwata Hinduims lkn masikini, zilizofwata Budhism zipo masikini na zilizofwata Uislamu pia nyingi zipo masikini na hata kwetu afrika ambako hatukuwa na Dini pia ni masikini kwa nini unafikiri christian countries zote zimeendelea kwenye human rights, democracy, human development very high, sababu ni ipi unadhania ?
zimbabwe, Haiti, Kongo na wenyewe matajir. alaf qatar, saudia algeria, moroco ni maskini?
Una hadithi tu wewe...ukinisoma vizuri utaona nimemaanisha zikizofwata dola ya kikristu, huwezi kutenganisha western europe na christianity, kila kitu western europe chimbuko lake ni ukristu …
Kumbe Arabs Emirates ni masikin? Saudia ni masikini? Qatar ni masikini? kila kona unaonaga Qatar airways n masikini? tulishuudia walivoandaa kombe la dunia kumbe ni masikini?
kazi ipo akili zikiwa chache
🤣🤣Mtoa post huna akili hata moja zaidi ya mfia dini , elimu elimu elimu
Dola ya kikrstu iko wapi. Ulikotaja hamna mbona.haujelewa labda nilichomaanisha, kuna nchi nyingi zinafwata dola ya kiislamu lkn ni masikini lkn hakuna nchi iliuokuwa dola ya ukristu ambayo ni masikini …