Christian Gregory- Chakubanga


...Mkuu, hapo kwa Phillip Ndunguru umenikumbusha mbali sana! Nakumbuka hao characters walivyotuchekesha sana wakati gazeti la Sani Original lilipoingia mitaani kwa mara ya kwanza na pia kwenye kitabu chake cha Mzee Meko, nadhani ilikuwa miaka ya mwishoni ya 70s! Nchi hii ingekuwa na sheria kali za copyright nadhani mpaka leo hii familia ya Phillip ingepaswa kuwa inafaidika na hawa wanaokopi characters wake kwenye hii Sani ya siku hizi, lakini ndiop hivyo tena.

 
asante sana maxshimba hii post ya zamani lakini ndo naiona leo
 
Can I get More info about his family and the person?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…