Christian Longomba wa the Longombas afariki dunia

Grena

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
656
Reaction score
1,553
Msanii wa kundi wa the longombas, Christian Longomba Amefariki Dunia huko Marekani baada ya kuugua Saratani.

Pacha wa Christian, Lovy Longomba waliyekuwa wanaunda group la the longombas ametoa Taarifa za kifo Cha Pacha wake ambae aliugua Saratani Toka mwaka 2015.

Kundi la the longombas Wacongo waliokuwa wakiishi Kenya, lilivuma na nyimbo Kama Vuta Pumzi, My Queen wakiwa nchini Kenya kabla ya kuhamia Marekani.

The Longombas Ni Watoto wa Kaka yake Awilo Longomba

We will remember his unique voice in music. R.I.P Christian
 
Miaka ya 1990 kulikuwa na mwanamuziki Lovy Longomba wa bendi ya Afrisa ambaye alifariki kwa ajali ya gari; hao Christian na Lovy wa huko Marekani wana uhusiano na marehemu Lovy Longomba wa Afrisa?

Vv
 
itakuwa. Maana baba wa awilo longomba aliita vicky longomba na alikuwa band ya afrisa,itakuwa ni ukoo mmoja
 
Miaka ya 1990 kulikuwa na mwanamuziki Lovy Longomba wa bendi ya Afrisa ambaye alifariki kwa ajali ya gari; hao Christian na Lovy wa huko Marekani wana uhusiano na marehemu Lovy Longomba wa Afrisa?

Vv
Ni Watoto wake mapacha Christian na Lovy Jr Longomba. Mjomba wao Ni Awilo Longomba , Awilo na Lovy Sr Ni mtu na Kaka
 
Apumzike kwa amani,walikuwa wanaimba vizuri
 
Mm namjua AWILO TU Sasa huyo Christian ndio AWILO au

Sorry sijasoma nyuz nyingne za nyuma pengne kuna ufafanuz
 
tafuta wimbo unaitwa Queen by longombas.....ni very talented na hu9 wimbo waliutendea haki sana haswa christian mwenyewe maana alikuwa na sauti inayosikika na kubeba uzito wa maneno....
 
Mkuu huujui wimbo wa vuta pumzi ulikuwa maarufu Sana miaka ya 2005_2006 na my queen pia ulivuma. Ingia YouTube search the longombas utaona nyimbo zao.

The longombas Ni Watoto wa kaka yake Awilo
 
tafuta wimbo unaitwa Queen by longombas.....ni very talented na hu9 wimbo waliutendea haki sana haswa christian mwenyewe maana alikuwa na sauti inayosikika na kubeba uzito wa maneno....
RIP Christian Longomba of The Longombas

Song: Queen : by The Longombas

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…