Grena
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 656
- 1,553
Msanii wa kundi wa the longombas, Christian Longomba Amefariki Dunia huko Marekani baada ya kuugua Saratani.
Pacha wa Christian, Lovy Longomba waliyekuwa wanaunda group la the longombas ametoa Taarifa za kifo Cha Pacha wake ambae aliugua Saratani Toka mwaka 2015.
Kundi la the longombas Wacongo waliokuwa wakiishi Kenya, lilivuma na nyimbo Kama Vuta Pumzi, My Queen wakiwa nchini Kenya kabla ya kuhamia Marekani.
The Longombas Ni Watoto wa Kaka yake Awilo Longomba