Christian Longomba wa the Longombas afariki dunia

Kwaiyo walitoka kongo wakaishi kenya wakaona hapatoshi wakaenda marekani haya bhana wenye hela zao
Sisi kajamba nani tunahama tukuyu tunaenda ishi kyela tukiona vipi tunapiga mbio mpaka tunduma
 
Kwaiyo walitoka kongo wakaishi kenya wakaona hapatoshi wakaenda marekani haya bhana wenye hela zao
Sisi kajamba nani tunahama tukuyu tunaenda ishi kyela tukiona vipi tunapiga mbio mpaka tunduma
Walienda Kenya Kama wakimbizi then Marekani.
 
Mkuu huujui wimbo wa vuta pumzi ulikuwa maarufu Sana miaka ya 2005_2006 na my queen pia ulivuma. Ingia YouTube search the longombas utaona nyimbo zao.

The longombas Ni Watoto wa kaka yake Awilo
Oooh asante
 
Kumbe I was right! Tangu enzi zile nilihisi mshikaji kama afya yake haikuwa sawa, na kama hawakufahamu, endapo wangekuwa na jicho kama la kwangu I hope wangegundua hilo tatizo mapema sana.

RIP Chris!
 
Only legends can remember this;
Dondosa bonge la ngoma fulani la clubbing!!
Wakati wewe unawakumbuka hao The Longombas sisi malijendari wa ukweli
Tunamkumbuka Baba yao mzazi aliyeitwa Lovy Longomba.

Ambaye alifanya muziki Congo, Kenya na Tanzania. Alifariki kwa ajali akitokea Kenya kuja Tanzania.

Hao hawamfikii hata robo ya uwezo wake. Kwenye kuimba, kutunga wimbo na kuandaa muziki.

Ulizia kuhusu mwanamuziki Lovy Longomba akiwa Tanzania na bendi ya Afriso Ngoma na Super Lovy au hata akiwa Congo.

Jamaa alikuwa hatari sana kwenye kutunga na kuimba. Amechangia sana kwenye muziki wa Dansi wa Tanzania.

RIP Lovy Longomba
 
Miaka ya 1990 kulikuwa na mwanamuziki Lovy Longomba wa bendi ya Afrisa ambaye alifariki kwa ajali ya gari; hao Christian na Lovy wa huko Marekani wana uhusiano na marehemu Lovy Longomba wa Afrisa?

Vv
alikua mshua wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…