Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji23] kubabake walayKwaiyo walitoka kongo wakaishi kenya wakaona hapatoshi wakaenda marekani haya bhana wenye hela zao
Sisi kajamba nani tunahama tukuyu tunaenda ishi kyela tukiona vipi tunapiga mbio mpaka tunduma
Walienda Kenya Kama wakimbizi then Marekani.Kwaiyo walitoka kongo wakaishi kenya wakaona hapatoshi wakaenda marekani haya bhana wenye hela zao
Sisi kajamba nani tunahama tukuyu tunaenda ishi kyela tukiona vipi tunapiga mbio mpaka tunduma
Oooh asanteMkuu huujui wimbo wa vuta pumzi ulikuwa maarufu Sana miaka ya 2005_2006 na my queen pia ulivuma. Ingia YouTube search the longombas utaona nyimbo zao.
The longombas Ni Watoto wa kaka yake Awilo
Oooh asante
Mkuu naona ID mbili tofauti avatar mojaKwaiyo walitoka kongo wakaishi kenya wakaona hapatoshi wakaenda marekani haya bhana wenye hela zao
Sisi kajamba nani tunahama tukuyu tunaenda ishi kyela tukiona vipi tunapiga mbio mpaka tunduma
Itakuwa Kaniibia huyo avatar yanguMkuu naona ID mbili tofauti avatar moja
Eeeehhh mzee kama tunduma pakitushinda tunarudi na njia yetu kuelekea ukimbizini dar es salaam[emoji23][emoji23]
Wanakimbia nchi yenye asali na maziwaWalienda Kenya Kama wakimbizi then Marekani.
😂😂😂😂Itakuwa Kaniibia huyo avatar yangu
Marekani kama watembezi.Walienda Kenya Kama wakimbizi then Marekani.
Yupi hapo alofarikiLongombasi enzi za Vuta pumziView attachment 1725920
Only legends can remember this;Nimekumbuka ule wimbo nikicheki cheki dondosa roho yangu inauma uma
R.i.p Christinian
2006 mkuuOnly legends can remember this;
Dondosa bonge la ngoma fulani la clubbing!!
Wakati wewe unawakumbuka hao The Longombas sisi malijendari wa ukweliOnly legends can remember this;
Dondosa bonge la ngoma fulani la clubbing!!
alikua mshua waoMiaka ya 1990 kulikuwa na mwanamuziki Lovy Longomba wa bendi ya Afrisa ambaye alifariki kwa ajali ya gari; hao Christian na Lovy wa huko Marekani wana uhusiano na marehemu Lovy Longomba wa Afrisa?
Vv