Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mkuu macho huna ama? Maneno alosema jamaa hapo yapo wazi kabisa jamaa huwa anachukia akifanyiwa sub.Usichote kila kiachoandikwa na media kwenye mitandao kuhusu Ronaldo na wewe ukajaza kwenye Hilo FUVU halafu ukajaa hasira.
Ni halali yake maana naambiwa huwa ni Chakula ya wanaumeHuwa linaringa hilo
Sasa wewe si kila anachomfikiria Ronaldo usitumie Makalio kumfikiria utaona tu yupo sawa.Usichote kila kiachoandikwa na media kwenye mitandao kuhusu Ronaldo na wewe ukajaza kwenye Hilo FUVU halafu ukajaa hasira.
Watoto hawa hawaelewi kitu. Wanatumia makalio kupenda so hawezi kukuelewa.Mkuu macho huna ama? Maneno alosema jamaa hapo yapo wazi kabisa jamaa huwa anachukia akifanyiwa sub.