Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni vigumu kunielewa, sasa itakuweje rahisi kwang kukuelewa, okDini zipi ndugu?mimi mtoa mada ni mkristo tena safi kabisa.sasa neno lako la kusema dini zetu hazina katiba sijui umeliibua wapi.
Ni kufanyia modification tu. Hata hizi za wazungu na waarabu zilikua hivyo. Yupo alietakiwa kumtoa kafara mwanawenyewe. Then akapewa kondoo. So ilikua inafanyika. Ukifatilia vizuri hata dini zao zimejengeka kwa misingi ya kafara. Mana hata mungu alitoa mwanae wa pekee ili dhambi zetu zisameheweImani zetu zile za kale weka mbali kabisa.
Watu walikua wanatoa kafara za watu, imani zile zinaua watoto wanaoanza kuota meno ya chini, miiko mingi kwa kweli naona haikua sawa kabisa.
Watu wa pwani chifu alikua akizikwa na mtu hai kaburini, kutoa sadaka kwa mizimu, msituni n.k.
Kwa ujumla bora hizi imani kuliko zile za mababu kwa mtazamo wangu.
Mkuu unajua kuwa wakristo hudai kuwa wao ndiyo wako sahihi na waislamu pia hudai kuwa wako sahihi,sasa nyie mnataka turudi kwenye imani za mababu zetu je huko kuna ukweli gani katika hizo imani ambao utafanya tuone uongo wa hizi dini za kuletewa? maana haiwezekani tufuate hizo imani za mababu kisa tu ndiyo zilikuwa za mababu zetu.Imani ni kitu kizuri,ila sidhani kama ni lazima uwe na dini ili uwe na imani.
Spirituality is something we already come with ,we were encrypted spiritually before even we were born in this physical place.
The thing is ,hizi dini zote Judaism ,Christianity Islam etc etc zime fail ,totally fail kumuunganisha binadam kuwa kitu kimoja .Naamini kabda ya hizi dini kuja hapo kwetu Africa,wazee wetu walikua wanaishi kama kitu kimoja .Niseme dini (ama ufahamu wetu kwenye hizi dini) umekuja kuvuruga uhusiano wetu adhimu na mapenzi ya dhati baina ya mtu na Mtu ,baina ya sisi kwa sisi.
Wamekuja na kuanza ku brands our names kwamba ukiitwa hivi that means wewe ni Muslim,ukiitwa hivi wewe ni Christian .And then wakaanza kututengenezea EGO .
Kwamba muislam aamini kuwa mtu yeyote ambae ni non Muslim kuwa nae makini,hakika huyo ni adui mubin(mkubwa) kwako na hatokupenda mpaka uingie kwenye imani yake.And that applies the same to Christianity,wana myths zao wanazopewa against Islam or other beliefs.
Kwamba kama wewe ni Christian basi hakuna imani ya kweli zaidi ya Christianity and Jesus Christ is the only way to heaven ,dini nyingine zote aidha wamekuwa mislead au ni dini potofu.And that applies the same to Islam ,and other religions.
Kwamba Islam is the only way to Janah ( heaven) ,tafauti na imani ya kiislam basi adhabu kali itakuwa juu yako siku ya mwisho,yaani slimu usalimike .
I mean,I am trying to imagine that ,the global population is almost 7bil or so .
Muslims are making 1.6 bil /global population,Christians 2.2bil /global population, Judaism almost 14mil or so .That is to say ,hiyo heaven ni ya watu aidha 1.6bil only or 2.2 bil only or 14 mil only,
"if one of them happens to be true",
strange!.
Sijui huyu ni mungu wa aina gani hizi dini zinazomzungumzia,The God who discriminates his own people !!that is not the one who created the heaven and earth ,that is our little ego and selfishness.
Hizi dini zimetengeneza mazingira kwamba ,ikiwa una discriminate au unachukia binadamu ambaye ni against na dini yako au hata kuua ,kwa muktadha wa kiimani basi hakuna tatizo ,utasikia huyu ni muislam mwenzangu ,ndugu yangu huyu .Au huyu ni Christian mwenzangu,ni Wa moja sis.Yaani hizi dini ndiyo zina determine the kind of humans we are ,and not our humanity.Hatari ni kubwa.
Dini ni chanzo cha discrimination kubwa na hate kuliko hata ukabila ,siasa na mali ,kama upo ofisini you can see that .Everyone pretends kuwa yupo kwenye dini sahihi,how that is possible ? Uwe kwenye dini sahihi na mwenzio awe kwenye dini potofu,wewe ni special kiasi gani kushinda mwingine,umefanya kitu gani special kwa huyo mungu mpaka uwe kwenye dini sahihi na mwingine awe kwenye wrong direction,this is very blind ,think of it .
Imani zetu nyingi tumerithi kutoka aidha kwa wazazi au mazingira tuliyokulia,Hakuna truth hapo zaidi ya blindness and inheritance from generation to generation,ndiyo maana watu wanakashifiana imani zao ,tuna hate ,kill ,discriminate in the name of God,because wote tupo kwenye wrong direction but we pretend we are in the right direction as in others in the wrong direction.
Hemu tujaribuni siku moja kuweka hizi dini pembeni,fear na ego ya hizi dini tuweke kando,and let's see the world as it is,not as we are conditioned to see it.we will build heaven on earth .
—It is that simple •
Mkuu unajua kuwa wakristo hudai kuwa wao ndiyo wako sahihi na waislamu pia hudai kuwa wako sahihi,sasa nyie mnataka turudi kwenye imani za mababu zetu je huko kuna ukweli gani katika hizo imani ambao utafanya tuone uongo wa hizi dini za kuletewa? maana haiwezekani tufuate hizo imani za mababu kisa tu ndiyo zilikuwa za mababu zetu.
Mkuu hapo tatizo si dini bali ni watu tu wenyewe,na wanaweza hata kutumia ukabila,utaifa na hata ubaguzi wa rangi Kufanya machafuko yenye kuondoa upendo. Sijajua kwanini ni dini ndiyo upewa lawama kana kwamba zinafundisha kubaguana na kuchukiana.Well ,Sijasema turudi kwenye imani za mababu zetu .I said tuitizame dunia kama ilivyo,because the world begun before Christianity or Islam kwa style hiyo ninaamini tutaimarisha upendo zaidi baina yetu(unconditional love).
I understand that faith is something very personal,na ukiona mtu yeyote anazungumzia imani ya mtu mwingine vibaya whether awe anaabudu chura ,mbwa,mlima ,mungu ...you name it ,basi ujue huyo mtu hana Mental Maturity.
Ukweli ni kwamba sisi ni wa moja,the one looking at you through my eyes ,and the one looking at me through your eyes Is The Same One,but dini itaingilia kati hiyo vision na kusema ,no , you are not the same one ,this is Christian,this is Muslim this is Jew ,we can't be the same .Hilo ndiyo tatizo la dini,"Ego".
Kadhalika pia nimesema imani ni kitu kizuri hasa kwa watu ambao ni open minded,but for small minded ,ni big challenge for sure ,na ukiona sehemu yoyote kuna zogo la dini ujue huyu mtu yupo.Because those people have no room for reasoning ,everything they speak out or spell wanataka izunguke kwenye imani zao,matokeo yake watu wengi sana wanaishi bila ya kuishi,wanakufa bila ya kufa na wanakufa bila ya kuishi ,chanzo ni hizi dini au uelewa wetu kwenye hizi dini.
Like me ,I respect very much imani ya kila mtu whether unaabudu paka au mbwa ,binadam,Jesus Christ ,Allah whatever,frankly I believe we are on the same page,hakuna kati yetu aliyeshukiwa na malaika au mungu na kuambiwa "this is the true path to be" tunajiuliza na kujiambia wenyewe ,henceforth I don't have any reason to judge a person through his or her or its faith .
—Nothing Personal •