Christianity, siyo rahisi kuishi a Christian life hasa kwa Waafrika!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,860
Reaction score
18,819
Fikiria hii changamoto moja iwe practised kwa "Christians" wa hapa kwetu, kwamba wenye ndoa wanakuwa na akaunt 1 ya benki i.e mke na mume wana akaunti moja ambapo mshahara unaingia kama wote wanafanya kazi basi mishahara yao inaenda akaunti moja kama ni mume pekee ndiyo bread winner basi akaunti yake inayoingia mshahara ndiyo hiyo hiyo na ya mke wake ambaye ni mama wa nyumbani, na wote wana access sawa kwenye hiyo akaunti maana yake mke au mume anaweza kutoa au kuweka hela muda wowote, kuchukua mkopo etc

Kibongo kibongo hauwezi hata ku-imagine kama kitu kama hicho kinawezekana lkn majority of Christians in the western world i.e USA, kanada, ulaya, australia, new zealand ni kawaida, fikiria tu hiyo trust iliyopo.

Je, wewe kama Christian man unaweza kuthubutu kuwa na akaunti moja ya benki na mke wako? kwani mlipoona mliunganishwa na kuwa mwili mmoja, na hiyo ndiyo maana yake, ukristo ni mgumu.

"Mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja. Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asitenganishe"

Marko 10:7-9 ...
 
Sio rahisi kuishi "a Christian life"
Yesu kwa kinywa chake alisema🙁Luka 9:23 ): "Akawaambia wote, Mtu ye yote akitaka kunifuata, na ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake kila siku, anifuate."
Tena mahali pengine iliandikwa🙁Marko 8:34): "Kisha akauita umati wa watu pamoja na wanafunzi wake, akawaambia, 'Kama mtu yeyote anataka kuwa mfuasi wangu, lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.'
Mkuu; unadhani kwamba Yesu alikuwa hajui hayo maneno eti "Mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja?
Usijidanganye; wala asikudanganye mtu. Kuyaishi maisha ya Ukristu ni wewe binafsi na nafsi yako. Hakuna msalaba utakaobebwa na watu wawili -Mume na Mke. Ni kila mtu na msalaba wake. Na hapo ndo ugumu ulipo. Unaubeba mzigo(Msalaba) halafu tena umfuate i.e. akipita makorongoni na wewe itakubidi upite mumo humo Hadi ufike Golgota -hakuna kupumzika; ukizidiwa uzito wa mzigo halafu ukatembea kizembe na kuanguka ujue mijeledi itakuhusu. No easy task kuishi maisha ya Ukristo broo.
 
mwili mmoja na akaunti moja vinalingana vipi
 
Fikiria hii changamoto moja iwe practised kwa "Christians" wa hapa kwetu, kwamba wenye ndoa wanakuwa na akaunt 1 ya benki i.e mke na mume wana akaunti moja ambapo mshahara unaingia kama wote wanafanya kazi basi mishahara yao inaenda akaunti moja kama ni mume pekee ndiyo bread winner basi akaunti yake inayoingia mshahara ndiyo hiyo hiyo na ya mke wake ambaye ni mama wa nyumbani, na wote wana access sawa kwenye hiyo akaunti maana yake mke au mume anaweza kutoa au kuweka hela muda wowote, kuchukua mkopo etc

Kibongo kibongo hauwezi hata ku-imagine kama kitu kama hicho kinawezekana lkn majority of Christians in the western world i.e USA, kanada, ulaya, australia, new zealand ni kawaida, fikiria tu hiyo trust iliyopo.

Je, wewe kama Christian man unaweza kuthubutu kuwa na akaunti moja ya benki na mke wako? kwani mlipoona mliunganishwa na kuwa mwili mmoja, na hiyo ndiyo maana yake, ukristo ni mgumu.

"Mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja. Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asitenganishe"

Marko 10:7-9 ...
wewe nyani mweusi pambana na hapa kwanza

1791918280684.png
 
Mwili mmoja, lakini nafsi kila mtu na yakwake.
 
mwili mmoja na akaunti moja vinalingana vipi

hahah ni ngumu kuelewa hapo naelewa hilo hasa kwa mazingira yetu hauwezi hata kuanza kufikira kwanza kama kuna kitu kama hicho, kwa maana ni swala na kuaminiana sasa kama hauwezi kumuamini mtu unayelala naye kitanda kimoja, mama wa watoto wako utamuamini nani tena dunia hii? na kama haumuamini mtu yoyote au hauna mtu yoyote unayemuamini thats a hard life believe me. rudia tena kusoma hapa kama ukipenda "Mwanaume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja" unafikri maana yake nini labda? ni uaminifu, kuaminiana kwa maana hauwezi kuungana na kuwa mwili 1 na mtu ambaye haumuamini, ...
 
hahah ni ngumu kuelewa hapo naelewa hilo hasa kwa mazingira yetu hauwezi hata kuanza kufikira kwanza kama kuna kitu kama hicho, kwa maana ni swala na kuaminiana sasa kama hauwezi kumuamini mtu unayelala naye kitanda kimoja, mama wa watoto wako utamuamini nani tena dunia hii? na kama haumuamini mtu yoyote au hauna mtu yoyote unaymuamini thats a hard life believe me. rudia tena kusoma hapa kama ukipenda "Mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja" unafikri maana yake nini labda? ni uaminifu, kuaminiana kwa maana hauwezi kuungana na kuwa mwili 1 na mtu ambaye haumuamini, ...
labda iundwe akaunti ya pamoja na kila mtu abai na kaunti yake.
watu wanapigana sana mapanga siku hiziz
 
hahah ni ngumu kuelewa hapo naelewa hilo hasa kwa mazingira yetu hauwezi hata kuanza kufikira kwanza kama kuna kitu kama hicho, kwa maana ni swala na kuaminiana sasa kama hauwezi kumuamini mtu unayelala naye kitanda kimoja, mama wa watoto wako utamuamini nani tena dunia hii? na kama haumuamini mtu yoyote au hauna mtu yoyote unayemuamini thats a hard life believe me. rudia tena kusoma hapa kama ukipenda "Mwanaume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja" unafikri maana yake nini labda? ni uaminifu, kuaminiana kwa maana hauwezi kuungana na kuwa mwili 1 na mtu ambaye haumuamini, ...
mlokole mbona unaruka posti yangu, nikwoti basi nikupelekee moto

1791919817693.png
 
Back
Top Bottom