Sio rahisi kuishi "a Christian life"Fikiria hii changamoto moja iwe practised kwa "Christians" wa hapa kwetu, kwamba wenye ndoa wanakuwa na akaunt 1 ya benki i.e mke na mume wana akaunti moja ambapo mshahara unaingia kama wote wanafanya kazi basi mishahara yao inaenda akaunti moja kama ni mume pekee ndiyo bread winner basi akaunti yake inayoingia mshahara ndiyo hiyo hiyo na ya mke wake ambaye ni mama wa nyumbani, na wote wana access sawa kwenye hiyo akaunti maana yake mke au mume anaweza kutoa au kuweka hela muda wowote, kuchukua mkopo etc
Kibongo kibongo hauwezi hata ku-imagine kama kitu kama hicho kinawezekana lkn majority of Christians in the western world i.e USA, kanada, ulaya, australia, new zealand ni kawaida, fikiria tu hiyo trust iliyopo.
Je, wewe kama Christian man unaweza kuthubutu kuwa na akaunti moja ya benki na mke wako? kwani mlipoona mliunganishwa na kuwa mwili mmoja, na hiyo ndiyo maana yake, ukristo ni mgumu.
"Mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja. Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asitenganishe"
Marko 10:7-9 ...
wewe nyani mweusi pambana na hapa kwanzaFikiria hii changamoto moja iwe practised kwa "Christians" wa hapa kwetu, kwamba wenye ndoa wanakuwa na akaunt 1 ya benki i.e mke na mume wana akaunti moja ambapo mshahara unaingia kama wote wanafanya kazi basi mishahara yao inaenda akaunti moja kama ni mume pekee ndiyo bread winner basi akaunti yake inayoingia mshahara ndiyo hiyo hiyo na ya mke wake ambaye ni mama wa nyumbani, na wote wana access sawa kwenye hiyo akaunti maana yake mke au mume anaweza kutoa au kuweka hela muda wowote, kuchukua mkopo etc
Kibongo kibongo hauwezi hata ku-imagine kama kitu kama hicho kinawezekana lkn majority of Christians in the western world i.e USA, kanada, ulaya, australia, new zealand ni kawaida, fikiria tu hiyo trust iliyopo.
Je, wewe kama Christian man unaweza kuthubutu kuwa na akaunti moja ya benki na mke wako? kwani mlipoona mliunganishwa na kuwa mwili mmoja, na hiyo ndiyo maana yake, ukristo ni mgumu.
"Mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja. Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asitenganishe"
Marko 10:7-9 ...
Mwili mmoja, lakini nafsi kila mtu na yakwake.Fikiria hii changamoto moja iwe practised kwa "Christians" wa hapa kwetu, kwamba wenye ndoa wanakuwa na akaunt 1 ya benki i.e mke na mume wana akaunti moja ambapo mshahara unaingia kama wote wanafanya kazi basi mishahara yao inaenda akaunti moja kama ni mume pekee ndiyo bread winner basi akaunti yake inayoingia mshahara ndiyo hiyo hiyo na ya mke wake ambaye ni mama wa nyumbani, na wote wana access sawa kwenye hiyo akaunti maana yake mke au mume anaweza kutoa au kuweka hela muda wowote, kuchukua mkopo etc
Kibongo kibongo hauwezi hata ku-imagine kama kitu kama hicho kinawezekana lkn majority of Christians in the western world i.e USA, kanada, ulaya, australia, new zealand ni kawaida, fikiria tu hiyo trust iliyopo.
Je, wewe kama Christian man unaweza kuthubutu kuwa na akaunti moja ya benki na mke wako? kwani mlipoona mliunganishwa na kuwa mwili mmoja, na hiyo ndiyo maana yake, ukristo ni mgumu.
"Mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja. Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asitenganishe"
Marko 10:7-9 ...
mwili mmoja na akaunti moja vinalingana vipi
labda iundwe akaunti ya pamoja na kila mtu abai na kaunti yake.hahah ni ngumu kuelewa hapo naelewa hilo hasa kwa mazingira yetu hauwezi hata kuanza kufikira kwanza kama kuna kitu kama hicho, kwa maana ni swala na kuaminiana sasa kama hauwezi kumuamini mtu unayelala naye kitanda kimoja, mama wa watoto wako utamuamini nani tena dunia hii? na kama haumuamini mtu yoyote au hauna mtu yoyote unaymuamini thats a hard life believe me. rudia tena kusoma hapa kama ukipenda "Mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja" unafikri maana yake nini labda? ni uaminifu, kuaminiana kwa maana hauwezi kuungana na kuwa mwili 1 na mtu ambaye haumuamini, ...
mlokole mbona unaruka posti yangu, nikwoti basi nikupelekee motohahah ni ngumu kuelewa hapo naelewa hilo hasa kwa mazingira yetu hauwezi hata kuanza kufikira kwanza kama kuna kitu kama hicho, kwa maana ni swala na kuaminiana sasa kama hauwezi kumuamini mtu unayelala naye kitanda kimoja, mama wa watoto wako utamuamini nani tena dunia hii? na kama haumuamini mtu yoyote au hauna mtu yoyote unayemuamini thats a hard life believe me. rudia tena kusoma hapa kama ukipenda "Mwanaume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja" unafikri maana yake nini labda? ni uaminifu, kuaminiana kwa maana hauwezi kuungana na kuwa mwili 1 na mtu ambaye haumuamini, ...
Hapana. Inaitwa Joint Account.hahaha ni ngumu ...