Christiano Ronaldo awekwa karantini

Trimmer

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
2,443
Reaction score
4,007
Mchezaji wa Juventus ya Italia mreno Christiano Ronaldo amepelekwa karantini wakati wachezaji wenzake wakianza mazoezi baada ya kuwasili kutoka nyumbani kwake nchini ureno kufuatia ligi ya Seria A kusimama kutokana na ugonjwa wa Covid19,, Ronaldo atalazimika kukaa karantini kwa siku 14 kabla ya kuruhusiwa kujiunga na wachezaji wenzake,,

Chanzo RFA
 
Hapo kwake kulikuwa hakuna kiwanja cha ndege?
Maana si ana ndege binafsi huyu ingeweza mtoa kwake mpaka Italy bila muingiliano na watu tena.
 
Hapo kwake kulikuwa hakuna kiwanja cha ndege?
Maana si ana ndege binafsi huyu ingeweza mtoa kwake mpaka Italy bila muingiliano na watu tena.
Ishu sio usafiri alioutumia ishu ni kutoka Madeira mpaka Turin ni wazi kuwa anastahili karantini siku 14
 
Hapo kwake kulikuwa hakuna kiwanja cha ndege?
Maana si ana ndege binafsi huyu ingeweza mtoa kwake mpaka Italy bila muingiliano na watu tena.
Hzo sku zote amekaa ureno inamaana
Hajatengamana na watu??

stidy
 
Huyo karantin yake n zaid ya ikulu

stidy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…