Trimmer
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 2,443
- 4,007
Mchezaji wa Juventus ya Italia mreno Christiano Ronaldo amepelekwa karantini wakati wachezaji wenzake wakianza mazoezi baada ya kuwasili kutoka nyumbani kwake nchini ureno kufuatia ligi ya Seria A kusimama kutokana na ugonjwa wa Covid19,, Ronaldo atalazimika kukaa karantini kwa siku 14 kabla ya kuruhusiwa kujiunga na wachezaji wenzake,,
Chanzo RFA
Chanzo RFA