Christiano Ronaldo, shoga wa kisirisiri kwa sababu za kibiashara

Mleta uzii huwajui watu hata wewe kitaa wanaweza kuwa wanakusema ni shoga na hujawahi kanusha
 
Uzushi huu mbona wa muda mrefu na hizo hizo picha. Nikafikiri labda kuna picha mpya.

Alizushiwa Michelle Obama kua ana dushelele sembuse CR kua gay. Ebu kwenye kutafuta udaku wa watu maarufu tuwe na hoja za msingi
 
mashabiki wa messi bhana wameona cha kuongelea hakipo wanaanza kusema fundi CR7 shoga
 
Uyo jamaa aifichik
 
Usupa star ni mzigo Wa mwiba ukiubeba utaumia
 
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] yanawatoka kweli team mmoroco jamaa kweli ni zwazwa. sababu hajawahi kanusha
 
Reactions: PNC
Tunaogopana kwa sababu hatujajuana ...hatujajuana kwa sababu tunatengana
 
Mwache na pesa zake! Wewe komaa na timu yako ya taifa
 
LAKINI KWANINI RONALDO HAKANUSHI HABARI HIZI??!!!
Kwani ni Nani humng'ata mbwa pindi mbwa amng'anapo yeye
 
G Sam utaliwa,we fuatilia at your own goddamn risk...
Hiyo picha ni mahususi kwa haters wa ccm!
Hakuna mtu nonsensical kama Benja!
Hakuna kuchekea chekea uchwara...kama mleta mada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…