Christiano Ronaldo, shoga wa kisirisiri kwa sababu za kibiashara

we boya kweli yani nguvu ndio zakufanya usiamini kama shoga... scofield
We kweli mwehu Scofield amekufanya kitu gani cha kuamini kuwa Ana nguvu kuliko Ronaldo.

Ronaldo tunamuona anavyokimbizana uwanjani we Scofield ulimuona wapi au kwenye movie
 
mwenzako anapiga pesa tu.....endelea kusema et shoga
 
Utakuwa shabiki wa messi wew
 
Barcelona mwaka huu wameshindwa uwanjani, mashabiki wanataka kuchukua ushindi wa kwenye internet. Hongereni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…