Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

ila uyo mama ni mzuri sana asee, mzee asingeweza himili vishindo

wanaume tuoe pisi za kawaida, hzo kali huwa za mapambo tu
Ila na make up bwana inasaidia ila kiuhalisia umri umeenda kwanzia 46 sio mtoto her first born is around 26
 
ila uyo mama ni mzuri sana asee, mzee asingeweza himili vishindo

wanaume tuoe pisi za kawaida, hzo kali huwa za mapambo tu
Ila inashangaza Mimi nilikuaga naamini mwanamke mrembo anazaa watoto wazuri pia ila nashangaa Kwa mrembo ameshindwa kurithisha uzuri wake Kwa mabinti zake au ndo ana mchanganyiko wa utaifa tofauti
 
inashangaza Mimi nilikuaga naamini mwanamke mrembo anazaa watoto wazuri pia ila nashangaa Kwa mrembo ameshindwa kurithisha uzuri wake Kwa mabinti zake au ndo ana mchanganyiko wa utaifa tofauti
 
Mzee shusho alikuwa anafanya kazi bandari Tanga maisha yalikuwa mazuri sana Mzee wa watu alimpenda sana Christina na kumsomesha Hadi hicho kienglish pamoja na kumsomesha mdogo wake na Christina wa like ambae alipoolewa alikuja na mdogo wake yule Binti aliekuwa anacheza kwenye nyimbo za Tina za zamani...kampeleka studio baba wa watu kamruhusu afanye huduma za kusafiri na kumuachia Mzee watoto lkn huko huko kwenye huduma Kenya Tina akaanza kudanga Kwa politicians wa Kenya..kadanga Kwa wanasiasa marehemu wawili hivi mmoja alikuwa na mvi nyingi , mwingine kwenye kile chama wanavaaga nguo za zambarawe sijui wazalendo sijui na kwenye misiba alienda kuimba bila aibu kama vile yeye ndo mjane
 
Wanawake ni viumbe cya ajabu sana mkuu!!

Wanasaliti vibaya mno!
You never know with women- mioyo yao ni vichaka vizito sana na washaplan mambo yao zamani sana , wanasubiria tu muda muafaka ufike.

Kama Mimi leo nimeshambiwa
"Unapenda chokochoko sana"

"Kuna siku utabaki na hizi chokochoko zako"..........

Sasa kwa kauli hizi miaka 7 ijayo nitakuwa na changu tena hapa au ndiyo mtu ashatengeneza road map yake?
 
Back
Top Bottom