Christina Shusho azikwapua milioni 10 za nabii mkuu GeorDavie, amuita mfalme

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
March 13, 2023 Staa wa muziki wa Injili nchini Tanzania, Christina Shusho alifika Kanisani kwa Nabii Mkuu Geordavie jijini Arusha kwa ajili ya Ibada, lakini akiwa katikati ya mazungumzo Shusho alianza kum-mwagia sifa Nabii huyo na baadae akamuomba kiasi cha pesa ili zimsaidie kwenye shughuli yake ya uzinduzi wa Album yake mpya itakayozinduliwa April 9, mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City akiwa yeye Rose Muhando, Martha Mwaipaja na wanainjili wengine.

Naye Nabii Mkuu Geordavie bila kupepesa macho aliinuka upesi ambapo kabla ya kutoa dau aliloombwa alimuomba Shusho aimbe kionjo cha wimbo wa "Nipe macho nione" ili asikie umwororo wa sauti yake, na baada ya Shusho kutii maamuzi hayo papohapo alipewa milioni 10 huku akisifiwa kuwa kilichomsukuma zaidi nabii kukubali kukwapuliwa pesa hizo ni sauti nyororo ya mwanainjili huyo.

"Wewe ni Mfalme, wewe ni Baba na si kwamba ni kujifanya wala kujipendekeza ila mimi ni mtoto wako mimi ni binti yako ninasikia Fahari nazungumza maneno haya kwa baba na nasikia nina nguvu ninaposema kitu kwa baba, siyo kitu kingine ni kazi ileile uliyotutia moyo kuendelea ndo hiyo tunaifanya, Baba natamani unipe nguvu"- alisema Christina Shusho.
 
March 13, 2023 Staa wa muziki wa Injili nchini Christina Shusho alifika Kanisani kwa Nabii Mkuu Geordavie jijini Arusha kwa ajili ya Ibada, lakini akiwa katikati ya mazungumzo Shusho alianza kum-mwagia sifa Nabii huyo na baadae akamuomba kiasi cha pesa ili zimsaidie kwenye shughuli yake ya uzinduzi wa Album yake mpya itakayozinduliwa April 9, mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City akiwa yeye Rose Muhando, Martha Mwaipaja na wanainjili wengine.

Sasa kama uliona hilo tukio likitendeka tarehe 13.03.2023, kwa nini hukulipost siku hiyo unakuja kupost baada ya siku 8. Au ulikuwa unatunga uongo wa kuja kupost hapa baada ya siku 8? Instanbuuul!!!
 
March 13, 2023 Staa wa muziki wa Injili nchini Christina Shusho alifika Kanisani kwa Nabii Mkuu Geordavie jijini Arusha kwa ajili ya Ibada, lakini akiwa katikati ya mazungumzo Shusho alianza kum-mwagia sifa Nabii huyo na baadae akamuomba kiasi cha pesa ili zimsaidie kwenye shughuli yake ya uzinduzi wa Album yake mpya itakayozinduliwa April 9, mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City akiwa yeye Rose Muhando, Martha Mwaipaja na wanainjili wengine.

Naye Nabii Mkuu Geordavie bila kupepesa macho aliinuka upesi ambapo kabla ya kutoa dau aliloombwa alimuomba Shusho aimbe kionjo cha wimbo wa "Nipe macho nione" ili asikie umwororo wa sauti yake, na baada ya Shusho kutii maamuzi hayo papohapo alipewa milioni 10 huku akisifiwa kuwa kilichomsukuma zaidi nabii kukubali kukwapuliwa pesa hizo ni sauti nyororo ya mwanainjili huyo.

"Wewe ni Mfalme, wewe ni Baba na si kwamba ni kujifanya wala kujipendekeza ila mimi ni mtoto wako mimi ni binti yako ninasikia Fahari nazungumza maneno haya kwa baba na nasikia nina nguvu ninaposema kitu kwa baba, siyo kitu kingine ni kazi ileile uliyotutia moyo kuendelea ndo hiyo tunaifanya, Baba natamani unipe nguvu"- alisema Christina Shusho.

Bila video 📸 mkuu
 
Dah, wanamtaka Yesu arudi upesi. Kwa hatua hii ya kusujudu watu ni hatari.
 
Back
Top Bottom