Christina Shusho, colabo na Diamond hapo umeliwa!

kaliwa
 
Kuhusu maisha yake binafsii hainihusuu, nasikiliza nyimbo zake, bas inatoshaaa!!!
 
kwa mtazamo wa kawaida tina anapendeza sana na kuwa na mvuto wa kimapenzi, mond hataacha hiyo chakula lazima atakula na anaweza akatangaza kimtindo kuwa anakula ili tu kumkomoa. Haijulikani tina kajiandaa vipi kisaikolojia ataeleweka vipi kama atatoa penzi kwa mond na kuishia penzi lao ku trend
 
Vichwa ngumu muwe mnawaacha hadi waungue mikono.Hata hivyo,akiliwa hatachubuka ngozi.
 

KvfIRwA lazima hapo, huyu dada malaya malaya anajificha kwenye nyimbo za injili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…