Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Una ushahidi wowote?Washabanduana hawa
😂Diamond kazaliwa na kukulia Dasilamu, hiyo Kigoma katika lini?
Na kiongozi anapozingua wahuni hubeba majukumu, tusimhukumu dada wa Mond.Mwanamke asiyekuwa na kiongozi ktk familia haya ndio matokea yake
mwanamke nae mtu bhna...Una ushahidi wowote?
Mwanamke akipata pesa nyingi huwa free sana waache mashangazi waendelee kutoka out maadam hela wanayochristina shusho, martha mwaipaja ni mashangazi ya kwenda👌🏾
We ni mhuni sana 😂View attachment 2763091
Inapanda mdogomdogo
Huyu kijana wa usafini sina imani naye ni swala la muda tu. Tutakuja kusikia shetani kawapitia 😀 umaarufu na pesa ni fimbo.Amefunguka da Christina...
"Tunaongea sana pamoja, yeye akiwa na shida ananipigia namshauri kama dada yake na mimi nikiwa na shida namtafuta. Tunazungumza mengi mengine ni ya siri na tumekuwa karibu kwa sababu wote tunatoka Kigoma"
"Kiukweli hakuna mtu anayeweza kunilipa nikaimbe kwenye tamasha lake, tunafanya tuu kusaidiana maana binafsi nikisema nianze kuweka dau langu hakuna wa kunilipa hiyo pesa"
Christina Shusho, 'Msanii' wa muziki wa Injili Tanzania.
#kuna uwezekano wa Mond kuokoa mwaka huu[emoji28]View attachment 2763075
Hivi yule Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Injili Kenya aliyefariki alikuwa anaitwa nani, ni kama jina lilifanana na huyuChristina Shusho, 'Msanii' wa muziki wa Injili Tanzania.
Tena akiwa na hela hapangiwi na 'mbwa' yeyote pa kwenda kula bata.mwanamke nae mtu bhna...
Mh! Mbona yesu wenu alisema alikuja kwaajili ya wadhambi...!!Anajidhalilisha tu kukaa karibu na wahuni
Pesa inamfanya akose mipaka
Mwanamke asiyekuwa na kiongozi ktk familia haya ndio matokea yake