Christina Shusho: Mimi na Diamond Platinumz ni marafiki sana

Christina Shusho: Mimi na Diamond Platinumz ni marafiki sana

Amefunguka da Christina...

"Tunaongea sana pamoja, yeye akiwa na shida ananipigia namshauri kama dada yake na mimi nikiwa na shida namtafuta. Tunazungumza mengi mengine ni ya siri na tumekuwa karibu kwa sababu wote tunatoka Kigoma"

"Kiukweli hakuna mtu anayeweza kunilipa nikaimbe kwenye tamasha lake, tunafanya tuu kusaidiana maana binafsi nikisema nianze kuweka dau langu hakuna wa kunilipa hiyo pesa"

Christina Shusho, 'Msanii' wa muziki wa Injili Tanzania.

#kuna uwezekano wa Mond kuokoa mwaka huu[emoji28]View attachment 2763075
Hii Imeenda!
 
Back
Top Bottom