Christina Shusho: Mimi na Diamond Platinumz ni marafiki sana

Christina Shusho: Mimi na Diamond Platinumz ni marafiki sana

Baba mchungaji ndiye aliacha au aliachwa ?
Hapo sijui, lakini wengi wanahisi Shusho kwa sababu ya tamaa zake za kutaka kuishi kwa uhuru aliamua kumkimbia Pastor, upande wa pili wapo wanaosema kwa sababu za ufuska wa Shusho basi Pastor akaona akae pembeni kimya kimya.

Yote kwa yote, Shusho alibadilika kimwenendo (kutoka kwenye ulokole wa kumtumia Mungu mpaka kuwa mlokole wa kusaka maokoto, kudanga, kutafuta followers nk) wakati huo huo Pastor amebakia kwenye ulokole wake wa kumhubiri Mungu.
 
Me pia kuna lishangazi mme wake ni mtu wa kitengo hasindagi sn home ni mtu wa ziara sn.

Sasa juzi likaja home na kuanza kujirahisha, ukweli sikubutua bcoz ni first time kuja home lkn kadri siku ziavyosonga mbele naona shetani ananizidi nguvu..

Jishangazi ni la ukweli, lina tako, nyonyo hajnyenyesha sn, nywele za singasinga mpaka mgongoni, tall kama mm, ananukia kijanga sio paka shume[emoji12].

Nextime akija afe simba afe mmasai naruka nae liwalona liwe.
 
Back
Top Bottom