Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
- Thread starter
- #101
Almas + Rajab + Christina = wa moja?Alaaa naanza kuunganisha dotii.
Moja huyu dadaa miziki yakee ikoo so additivee, Ina melody tamuu Kweli Kweli. Sasa niwaulize swali? JE, ni nani aliyekuwa anamwimbia Mungu Kule juu, wakati wa enzi kabda hawajagombana? Inatisha sana nitaongea kwa Code tuu Ili kulinda usalama wangu!
Pia, niwafumbue macho jinsi haya matukio mawili yanavyofanana, mwaka Jana Harmonizer alishtuka alipokuwa airport Mombasa alipomwona huyu mama, walioshuhudia tukio hilo wanasema harmonizer alitembea na tumbo mpaka miguuni mwake! Alafu akaibusu. Sasa Leoo tunasikia teena kwa DeeMondi!!! Hali inatisha Sanaa! Mtaona Siku ZA karibuni Mondi ataachia Ngoma yenye Melody kali,,, naogopaa Saba kwa haya nayowaeleza ndugu zanguni leo sitazima taa ya chumbani kwangu wakati nalala wasije nitumia Popobawa.
Sasa kituu cha ajabu huyu dada Ana nyimbo yake moja inayokwenda kwa jina BWANA NITETEE. Hii nyimbo mashairi yake yamejaa kuomba kisasi kwa bwana kwa maaudui zake, lakini mbona Yesu alisema tusamehee Saba mala SabiNi..