Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Oh asante sana MkuuAngela Chibalonza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh asante sana MkuuAngela Chibalonza
Ni kweli kabadilikaYanii pia amekua na mwili wa tofauti au mie ndio sijamuona muda mrefu labda!!
Mume wa huyu muMama ni mchungaji lakini age imesonga kidogo haimatch sana. Si unajua makanisa ya huko ndani ndani, huko ndipo alikotokea huyu muMama na mchungaji avuta kitu ndani.Amefunguka da Christina...
"Tunaongea sana pamoja, yeye akiwa na shida ananipigia namshauri kama dada yake na mimi nikiwa na shida namtafuta. Tunazungumza mengi mengine ni ya siri na tumekuwa karibu kwa sababu wote tunatoka Kigoma"
"Kiukweli hakuna mtu anayeweza kunilipa nikaimbe kwenye tamasha lake, tunafanya tuu kusaidiana maana binafsi nikisema nianze kuweka dau langu hakuna wa kunilipa hiyo pesa"
Christina Shusho, 'Msanii' wa muziki wa Injili Tanzania.
#kuna uwezekano wa Mond kuokoka mwaka huu[emoji28]View attachment 2763075
unamaanisha hao makahaba wawili au hao wawili wepi? mtu anadharau ndoa na mume wake hadharani, bure kabisa.Hata Yesu alipiga story na makahaba, so sio ajabu hao wawili kuwa marafiki.
Acha tu mkuu. Maumivu ninayopata ni sawa na maumivu atakayopata mbuzi akichunwa bila kuchinjwa kwanza.Wakati wewe unajiwekea list wenzio waneshatafuna kitambo
'Kumchanulia mapaja' mkata kucha, ni mkao tu ili 'kazi' ifanyikeAmefunguka da Christina...
"Tunaongea sana pamoja, yeye akiwa na shida ananipigia namshauri kama dada yake na mimi nikiwa na shida namtafuta. Tunazungumza mengi mengine ni ya siri na tumekuwa karibu kwa sababu wote tunatoka Kigoma"
"Kiukweli hakuna mtu anayeweza kunilipa nikaimbe kwenye tamasha lake, tunafanya tuu kusaidiana maana binafsi nikisema nianze kuweka dau langu hakuna wa kunilipa hiyo pesa"
Christina Shusho, 'Msanii' wa muziki wa Injili Tanzania.
#kuna uwezekano wa Mond kuokoka mwaka huu[emoji28]View attachment 2763075
🤣Una ushahidi wowote?
Nakusalimia binamuUna ushahidi wowote?
🤣🤣🤣🤣🤣Shusho dada wa mjini tu,Hana tofauti na wa bongo movie
Namaanisha hao wawili marafiki, pia ni kaka na dada akeunamaanisha hao makahaba wawili au hao wawili wepi?
Acha tu mkuu. Maumivu ninayopata ni sawa na maumivu atakayopata mbuzi akichunwa bila kuchinjwa kwanza.
Itategemea na mazingiraJe wewe ungeacha unyama kama huu ?
Habari Ya wewe binamuNakusalimia binamu
Yaweza kuwa wale wadada wa bongo movie hawamfikii huyu bi ShushoShusho dada wa mjini tu,Hana tofauti na wa bongo movie
Wewe ndio unaetunza ushahidi wao?. Tukupe?. Ukiona manyoya ujue kaliwaUna ushahidi wowote?
Hako ka msemo bhana 😂Ukiona manyoya ujue kaliwa
Mi mzima binamu,sikuoni kabisa siku hizi sijui tunapishana mitaaHabari Ya wewe binamu