Wewe na wenye mawazo kama yako mna safari ndefu kuujua ukristo , shusho ni mwinjilisti kwa njia ya nyimbo za injili, ili afanikishe huduma yake anahitaji wenye kasoro kama diamond na wengine ambao nyie mnawaita wahuni ,maana hao ndio wanahitaji wokovu ,,,Yesu kristo aliwaambia watu daktari ni kwa ajili ya wagonjwa na siyo wenye afya,akajichanganya na makahaba na watoza ushuru na mwisho walibadilika,ie Elizabeth,mathayo na wengine I,, na alifanya hivo coz anajua Dunia siyo mbinguni,na wengi waliopo huku wamepotea,na lengo la huduma yake ni kurudisha waliopotea,so walikuwa kipaumbele
Kosa la shusho ni kuthaminisha huduma yake katika pesa wakati anajua wengi Bado wanahitaji wokovu,. ,Na mbaya zaidi anataka thamani yake bila hata ya kumtaja Mungu aliyembariki, hii ilimponza Musa kule alikogonga maji mara ya pili nafikiri,, alijivika uwezo akamsahau aliyempa uwezo,na matokeo yake hakuifikia nchi ya ahadi, ,,Mungu amuongoze ,maana Bado anahitajika