Christina Shusho: Mimi na Diamond Platinumz ni marafiki sana

Christina Shusho: Mimi na Diamond Platinumz ni marafiki sana

Amefunguka da Christina...

"Tunaongea sana pamoja, yeye akiwa na shida ananipigia namshauri kama dada yake na mimi nikiwa na shida namtafuta. Tunazungumza mengi mengine ni ya siri na tumekuwa karibu kwa sababu wote tunatoka Kigoma"

"Kiukweli hakuna mtu anayeweza kunilipa nikaimbe kwenye tamasha lake, tunafanya tuu kusaidiana maana binafsi nikisema nianze kuweka dau langu hakuna wa kunilipa hiyo pesa"

Christina Shusho, 'Msanii' wa muziki wa Injili Tanzania.

#kuna uwezekano wa Mond kuokoka mwaka huu[emoji28]View attachment 2763075
Injili ni biashara siku hizi! Yesu alipo watuma wale mitume wake kuhubiri neno.. aliwaambia msichukue kitu KWa mtu yeyote..... Pia kuna mahala alisema karama umepewa bure kwanini utoze watu pesa?

Simaanishi akatae pale atakopo pewa pesa... Isipokuwa atakacho pewa pale anapo hitajika kuhubiri KWa uimbaji wake ashukuru tu ndio maana ya injili maana sio biashara(kwamba usipo nipa kiasi hiki siji kuimba).... Lengo watu waokolewe.... Paulo alisisitiza watu wawe na Kazi za mikono... Pamoja na yeye kuwa muhubiri wa neno la Mungu na kufanya uinjilisti maeneo mengi na kuweka Historia... Lakini alikuwa anashona mazulia.... Na pia kabla ya Hapo alikuwa mwalimu wa sheria za kiyahudi......
 
Amefunguka da Christina...

"Tunaongea sana pamoja, yeye akiwa na shida ananipigia namshauri kama dada yake na mimi nikiwa na shida namtafuta. Tunazungumza mengi mengine ni ya siri na tumekuwa karibu kwa sababu wote tunatoka Kigoma"

"Kiukweli hakuna mtu anayeweza kunilipa nikaimbe kwenye tamasha lake, tunafanya tuu kusaidiana maana binafsi nikisema nianze kuweka dau langu hakuna wa kunilipa hiyo pesa"

Christina Shusho, 'Msanii' wa muziki wa Injili Tanzania.

#kuna uwezekano wa Mond kuokoka mwaka huu[emoji28]

View attachment 2763075
Sawasawa
 
Hili la mtume Paulo kuwa mshona mazuria umetupiga aisee!
Matendo 20:33-35

33 Sikutamani fedha au dhahabu au nguo za mtu ye yote. 34 Ninyi wenyewe mnajua kwamba kwa mikono yangu nimefanya kazi nikapata mahitaji yangu na ya wenzangu. 35 Katika kila jambo nimewaonyesha kwamba kwa kufanya kazi kwa bidii mtaweza kuwa saidia walio dhaifu, mkikumbuka maneno aliyosema Bwana Yesu kwamba, ‘Kuna baraka kubwa zaidi katika kutoa kuliko kupokea.”’
 
Alaaa naanza kuunganisha dotii.

Moja huyu dadaa miziki yakee ikoo so additivee, Ina melody tamuu Kweli Kweli. Sasa niwaulize swali? JE, ni nani aliyekuwa anamwimbia Mungu Kule juu, wakati wa enzi kabda hawajagombana? Inatisha sana nitaongea kwa Code tuu Ili kulinda usalama wangu!

Pia, niwafumbue macho jinsi haya matukio mawili yanavyofanana, mwaka Jana Harmonizer alishtuka alipokuwa airport Mombasa alipomwona huyu mama, walioshuhudia tukio hilo wanasema harmonizer alitembea na tumbo mpaka miguuni mwake! Alafu akaibusu. Sasa Leoo tunasikia teena kwa DeeMondi!!! Hali inatisha Sanaa! Mtaona Siku ZA karibuni Mondi ataachia Ngoma yenye Melody kali,,, naogopaa Saba kwa haya nayowaeleza ndugu zanguni leo sitazima taa ya chumbani kwangu wakati nalala wasije nitumia Popobawa.

Sasa kituu cha ajabu huyu dada Ana nyimbo yake moja inayokwenda kwa jina BWANA NITETEE. Hii nyimbo mashairi yake yamejaa kuomba kisasi kwa bwana kwa maaudui zake, lakini mbona Yesu alisema tusamehee Saba mala SabiNi..
Hakika umeona nilichokiona tangu awali.

Lakini usiwe muoga maana shetani ukimuogopa ndo unampa funguo akushughulikie.

Yaache magugu yakue na ngano maana kila kinachoota kinajulikana hatima yake wakati wa mavuno. Lakini yeye mwenye Uweza Mkuu kuliko wote anasema, Njoo nikubadilishe bila gharama, kama ulikuwa gugu nakufanya kuwa ngano safi...
 
Pastor aachie vijana nao wafaidi lishangazi. Undugu ni kufaana. Diamond ni mwanamuziki shujaa kwenye mambo ya ngono. Nikikumbuka huyu Simba alishamvuruga Jokate naishia kupata uchungu. Kama kashatafuna huyu Shusho basi atakuwa kashamaliza list yangu nzima ya wanawake maarufu ninayotamani kutafuna.
Tuendelee na mama.lishe maana hawa pisi kali wote wsshahesabiwa😀
 
Matendo 20:33-35

33 Sikutamani fedha au dhahabu au nguo za mtu ye yote. 34 Ninyi wenyewe mnajua kwamba kwa mikono yangu nimefanya kazi nikapata mahitaji yangu na ya wenzangu. 35 Katika kila jambo nimewaonyesha kwamba kwa kufanya kazi kwa bidii mtaweza kuwa saidia walio dhaifu, mkikumbuka maneno aliyosema Bwana Yesu kwamba, ‘Kuna baraka kubwa zaidi katika kutoa kuliko kupokea.”’
Ni kweli, ila mtume paulo hakushona mazuria bali alipiga kazi ya kushona mahema
 
Hatuna uhakika kama Almas anafaidi, ila kwa Shusho uhakika wa kufaidi upo, si unajua kipele kikikunwa raha huwa ipo kwa mkunwaji na sio mkunaji 😜
Dogo lazima atakua anafaidi sana si unajua mishangazi hainaga hiana na kwa mpalange, uwaga kutoa kwa huko ni easy tu, maana hakuna uzazi tena inatereza tu.
 
Back
Top Bottom